Utafanya nini siku ukimfuma mpenzi wako akizini na nduguyo?

Ukimuacha mke jua umegawa familia yenu ndugu wengi watakuwa upande wa kumkinga mdogo wako hawatakuamini tena watajua kuna siku tu utamdhuru mdogo wako dawa ni kumwambia tu bwana mdogo ulichokifanya hiki hebu chagua mahali gani pa kwenda kuishi. Na mke mwambie unatafuta siku ya kwenda kuwaeleza ndugu zake (hata usipo waeleza ni adhabu tosha). Hii ni Kwa mimi lakini.

MAGUFULI4LIFE.
Hilo la kumkingia dogo kifua inamaana wanasapoti yeye kukulia muke yako!
 
Unawaacha tu, wakimaliza unawapa pongezi. Endapo kama wana akili nzuri Watajutia.
Ujasiri huo unao au unawaza tu mkuu?imagine ndio umewakuta wako kitandani kwako,pamevurugwa kisawasawa,na wanachokifanya haujawahi hata kufanya na mkeo tokea umuoe,dah,wacha tu nisiendelee kuandika maana naona hasira zinanipanda...
 
Hilo la kumkingia dogo kifua inamaana wanasapoti yeye kukulia muke yako!
Una watoto wawili,mmoja kampiga mwenzie jiwe la kichwa damu inavuja,aliyepigwa nae akashika jiwe na kumkimbiza mwenzie ili alipize na wewe ukawaona. Ukimzuia huyu asipige jiwe la kulipiza haitamaanisha ulipenda alivyopigwa yeye.

Unawajua wazazi wetu au unasikia tu..? Hapo atakukataza lkn kipondo atakachokula ataona dunia duara kwelikweli mpk anaweza omba angepigwa jiwe tu..😂
 
Ujasiri huo unao au unawaza tu mkuu?imagine ndio umewakuta wako kitandani kwako,pamevurugwa kisawasawa,na wanachokifanya haujawahi hata kufanya na mkeo tokea umuoe,dah,wacha tu nisiendelee kuandika maana naona hasira zinanipanda...
Mkuu wengi wao wanaandika tu kuwa watawaachia lkn wakiwa ktk real situation hapo ndo utakuja kusikia mpk kwenye vyombo vya habari..😅
 
Unawajua wazazi wetu au unasikia tu..? Hapo atakukataza lkn kipondo atakachokula ataona dunia duara kwelikweli mpk anaweza omba angepigwa jiwe tu..😂
Kwahiyo hata na wao sio kwamba watakuwa wanaliafiki suala la mdogo wako kulala na makeo.

MAGUFULI4LIFE.
 
Back
Top Bottom