hahahHahaaa sawa ngoja ifike
Ni uchoyo ndugu yangu ana ugwadu hafu avumilie tu ili iweje zamani za mila mfano wewe huwezi mpa mimba mkeo, ndugu yako wa damu anakusaidia na haikuwa shida ni sikuhizi tu watu twajifanya twawivuMkubalie mdg wangu nawewe,,,uchoyo tu [emoji23]
Nashukuru Kaka.Karibu sana ndugu
Mambo mengi oooh sumu haionjwiUmeshindikana kwa lipi mrembo..?
Utashuhudia mwenyewe time will tellhahah
Ndio maana nikasema tuyajenge mapema 😝 huko mwishoni tunaenda kupiga final touchez tu.Utashuhudia mwenyewe time will tell
Hahaaa asije msumbua ndugu yangu bureMkubalie mdg wangu nawewe,,,uchoyo tu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]niki kupea tutawezana kweliNdio maana nikasema tuyajenge mapema [emoji13] huko mwishoni tunaenda kupiga final touchez tu.
[emoji23][emoji23]my dear kenzyMi ndo maziwa njoo nikutibu sumu..[emoji6]
Unaulizia mavumbi stoo, cha msingi venue tu 😝[emoji23][emoji23][emoji23]niki kupea tutawezana kweli
[emoji23][emoji23]Unaulizia mavumbi stoo, cha msingi venue tu [emoji13]
Sema nami laaziz wa huba uliekalia ini pamoja na filigisi lake..😉[emoji23][emoji23]my dear kenzy
Hahaaa maneno haya yamenipa sinzio wallahSema nami laaziz wa huba uliekalia ini pamoja na filigisi lake..[emoji6]
Usitie shaka kwa kenzy utapata.. Mimi sio mvua za msimu zinazokauka Kama ndimu!.. nitakukumbuka kwa simu nikukate wazimu..
Nikiwa mbali nitakusogeza tupate wasaa tukale na kaa Tena kwa motokaa..[emoji6]
I love you wahuba na kwako sintoruba..
J moko utakuwa freshi nikuvutie waya chap kwa mwendo wa ngiri!?[emoji23][emoji23]
Na Mambo mengi mda mchacheJ moko utakuwa freshi nikuvutie waya chap kwa mwendo wa ngiri!?