unaeza mchukia nduguyo kumbe sababu kubwa ya jambo lile ni mkeo, bora umeachana na mkeo then udugu ukaendeleaHakunz dhambi kubwa kubwa kama hiyo ya kutembea na mke wa jirani yako au ndugu yako. Kiufupi nita mfunza adabu mpaka maji aite mma.
Mke wangu nita muacha lakini ndugu yangu atakuwa adui yangu.
We bata kweli wewe..Unawaacha tuwaendelee na starehe zao ...acha kuingilia starehe za watu..
Watu wameaumua kutumia vikojoleo vyao wao wenyewe kujiburudisha ' wewe kwanini uumie !?
Huwa unalipia kodi hivyo vikojoleo vyao !??
Wivu wivu wa kijinga haufai kabisa
Kila mtu ana chiu wake na anahaki ya kuutumia vile anavyotaka ilimradi tu matumizi hayo yawe ni sahihi..
Kama utaamua kuachana na huyo mkeo au mumeo hiyo ni juu yako sasa
na wewe kuku πWe bata kweli wewe..
Mzee Wangu Alimtongoza Mama Yangu Mdogo
Kasie chukulia kipenzi chako cha buhari,akila yeye unashiba wewe!,akilia yeye unaumia wewe then unamkuta ndugu yako dada au mdogo wako anampa mambo! Tena kwa grade za kimataifa are you sure utasema hakuna cha kwako peke yako..? Think twice lady..β Ukitaka wako pekeyako chukua mgomba uweke ndani ....β by Mwana FA.
Bado niponipo sana....π
Binadamu tujifunze kutenganisha sehemu za siri na moyo.Unawaacha tuwaendelee na starehe zao ...acha kuingilia starehe za watu..
Watu wameaumua kutumia vikojoleo vyao wao wenyewe kujiburudisha ' wewe kwanini uumie !?
Huwa unalipia kodi hivyo vikojoleo vyao !??
Wivu wivu wa kijinga haufai kabisa
Kila mtu ana chiu wake na anahaki ya kuutumia vile anavyotaka ilimradi tu matumizi hayo yawe ni sahihi