Utafanya nini siku ukimfuma mpenzi wako akizini na nduguyo?

Dogo akila haina shida, mwanamke ndio ntamuonesha mlango wa kutokea
 
Utakuwa na shida mahali
 
Hakunz dhambi kubwa kubwa kama hiyo ya kutembea na mke wa jirani yako au ndugu yako. Kiufupi nita mfunza adabu mpaka maji aite mma.
Mke wangu nita muacha lakini ndugu yangu atakuwa adui yangu.
Mkuu umpe adhabu nduguyo badala ufurahie
 
Ukikuta hivo unashukuru nduguyo kakusaidia, na kizuri share na nduguyo
We binti weye!.. na ndio nataka nikuchumbie hivyo utanipa nduguyo..??😉😜
 
Ukikuta hivo unashukuru nduguyo kakusaidia, na kizuri share na nduguyo
Hahah nikitafuna haika kwako poa tu 😂😂😂 maana navyojua hamna kitu demu hapendi kama umgonge yeye na ndugu zake!!! Hata kama mliachana
 
Hahah nikitafuna haika kwako poa tu [emoji23][emoji23][emoji23] maana navyojua hamna kitu demu hapendi kama umgonge yeye na ndugu zake!!! Hata kama mliachana
Mimi gonga tu I don't care kwanini niumie tendo la watu wazima, dah Mimi ukiweza gonga hata Bibi yangu wallah
 
Mimi gonga tu I don't care kwanini niumie tendo la watu wazima, dah Mimi ukiweza gonga hata Bibi yangu wallah
Basi tuanze zoezi mapema maana december inakaribia😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…