Utafanya nini siku ukimfuma mpenzi wako akizini na nduguyo?

Mkubalie mdg wangu nawewe,,,uchoyo tu [emoji23]
Ni uchoyo ndugu yangu ana ugwadu hafu avumilie tu ili iweje zamani za mila mfano wewe huwezi mpa mimba mkeo, ndugu yako wa damu anakusaidia na haikuwa shida ni sikuhizi tu watu twajifanya twawivu
 
[emoji23][emoji23]my dear kenzy
Sema nami laaziz wa huba uliekalia ini pamoja na filigisi lake..πŸ˜‰
Usitie shaka kwa kenzy utapata.. Mimi sio mvua za msimu zinazokauka Kama ndimu!.. nitakukumbuka kwa simu nikukate wazimu..
Nikiwa mbali nitakusogeza tupate wasaa tukale na kaa Tena kwa motokaa..πŸ˜‰

I love you wahuba na kwako sintoruba..
 
Nawaacha tu waendelee kuzini..ila Sasa tusizoeane.
 
Hahaaa maneno haya yamenipa sinzio wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…