Hahahahaha Pambania kombe arifu, wacha mi niingie mtaa kidogo mida.π€£π€£π€£ naona frequency zimegongana kidogo!Kaka unaweza niachia uwanja kidogo maana kama unaharibu harakati sikuelewi..π
Penye nia pana njia πNa Mambo mengi mda mchache
Undugu Kama kovu haliwezi futika..hautakufa Ila asinizoee.Na nduguyo ndo undugu utakufa..??
UKIWASAMEHE UTAKUWA UMEPONA ZAIDI KULIKO KUWASHUSHIA MKONG'OTOHakunz dhambi kubwa kubwa kama hiyo ya kutembea na mke wa jirani yako au ndugu yako. Kiufupi nita mfunza adabu mpaka maji aite mma.
Mke wangu nita muacha lakini ndugu yangu atakuwa adui yangu.
Ni uchoyo ndugu yangu ana ugwadu hafu avumilie tu ili iweje zamani za mila mfano wewe huwezi mpa mimba mkeo, ndugu yako wa damu anakusaidia na haikuwa shida ni sikuhizi tu watu twajifanya twawivu
Huyu inaonekana anagongwa Sana na shemeji zakeUtakuwa na shida mahali
Ndio wazee wa zamani walikuwa na akili Sana sema tu hatutaki kufata busara zao, zamani nadra mtu kujiua na mapenzi sikuhizi mapenzi au ngono rahisi kupatikana Ila ndio mahusiano yanatesa watu Sana na hawadumu.Af inapigwa kimya ukoo mzima inabakiaga siri ya kambi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo yalikuwa matamu sana
CorrectPenye nia pana njia [emoji23]
Jiongeze basi mambo yasiwe mengi hapaCorrect
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiongeze basi mambo yasiwe mengi hapa
Shetani alinipitia..ππ..kujitetea muhimu.πKama nakuona ulivyonuna.. let's turn it around! Wewe mfano ndo umefumaniwa utamwambia nini ndugu yako..??
Hapo atakuvua na wigi ubaki kipara halafu aanze kumuuliza shemejio "kweli ndo unatembea na mdogo wangu mwenye huu upara kweli..ππ"Shetani alinipitia..ππ..kujitetea muhimu.π
πππ Kwani shemeji anatia upara?? π€£π€£π€£π€£ Kaona vingine vikamvutia shetani akaingilia katiHapo atakuvua na wigi ubaki kipara halafu aanze kumuuliza shemejio "kweli ndo unatembea na mdogo wangu mwenye huu upara kweli..ππ"
Hapo hata ukisema shetani lzm aseme hausiki..π
Vikamvutia wapi wakati nyinyi ndo wale mnaita mtu chumbani akiingia tu unamshika mkono.. unamwambia ukikataa napiga kelele unanibaka..π ushaona wapi pisi kali inafanyaga michezo hiyo..?πππ Kwani shemeji anatia upara?? π€£π€£π€£π€£ Kaona vingine vikamvutia shetani akaingilia kati
ππππππ Kaka chizi kweli..Ngoja nikuitie kibonge mwiko aje akukomesheπΆVikamvutia wapi wakati nyinyi ndo wale mnaita mtu chumbani akiingia tu unamshika mkono.. unamwambia ukikataa napiga kelele unanibaka..π ushaona wapi pisi kali inafanyaga michezo hiyo..?
Dada nakutania tu usijenizira Kaka yako we ni muzuri..π