Utafanya nini ukipewa jibu kama hili wakati unatongoza?

Wengie huwa niving'ang'anizi bado ataendelea kumtongoza tu!!
 
Kuna jamaa aliniambia nimkubali ivyo ivyo alafu huko mbeleni nitachagua kubaki na bwana alienikuta nae au nibaki nae yeye kwa kweli nilimshangaa sana sijui anajiamini kitu gani.
 
tuliokuwa tunaenda kuwinda, mbwa aliekuwa hakati tamaa pamoja na chenga za maudhi za sungura, marazote alikuwa anatupatia kitoweo na tulimpenda
 
Kuna jamaa aliniambia nimkubali ivyo ivyo alafu huko mbeleni nitachagua kubaki na bwana alienikuta nae au nibaki nae yeye kwa kweli nilimshangaa sana sijui anajiamini kitu gani.

alikuwa anapima uwezo wa moyo wako
 
Wana MMU umemtokea demu alafu anakupa jbu kama hlo je utaendelea kumkomalia au utafanyaje?

Kaka hizo nakupend ishu za zaman . Me huwa sitongozi naweka mazngira kwa gal nnaye mpenda tunajikuta tupo kwa love baadae

Na kama unataka ushushe madini Usije muuliza gal kama ana boyfrnd
 
Hapo kuna mawili, labda kweli anampenzi wake so hataki kukupotezea muda au anakuzingua tu coz hajakupenda
 
Msichana akikuambia ana mtu ujue hakupendi, mwanamke anayekupenda kwa dhati atakutengenezea mazingira yasio na mashaka yoyote ili aweze kukukabidhi moyo wake.Ukiamua kufanya mapinduzi inawezekana lakini ujue wewe ni second choice.Lakini kuna wadada wengine hutumia kisingizio hicho kuepuka usumbufu wa wanaume ila fanya utafiti kama akikuambia ana mtu ili ujiridhishe.
 
Unakomaa tuu usikate tamaa mapema kama umempenda kwa dhati. Hyo mara nyingine inakuwaga kinga ya kukwepa mabazazi maana wanaume watu wa ajabu sana....akishajua uko single hata kama hana interest atajifanya yupo interested saana ili ale mzigo tu asepe.
 
Akikwambia hivo ujue huja qualify kuwa naye unachapa lapa kutafta wa type yako
 
Yani mimi nilikuwa na majibu tofauti na yako nilidhani anaweza kuwa na ufundi zaidi ya mwenzie au mambo ya ajabu zaidi ya mwenzie hata aliona mwisho wa siku atashinda huwa simuelewi na hajachoka mwaka wa tatu huu bado anasisitiza naisi katimwa.
alikuwa anapima uwezo wa moyo wako
 
Mbona akikuambia ndo ameshakurahisishia kazi, kitu muhimu akusikilize tu
 
Dah kama unampenda kwel ndo utakapoamin mapenz yanaumza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…