Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Wana MMU umemtokea demu alafu anakupa jbu "tayari nina mpenzi wangu" pale unavyotongoza? kama hlo je utaendelea kumkomalia au utafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengie huwa niving'ang'anizi bado ataendelea kumtongoza tu!!
sasa we ungefanyaje na unampenda sana.
Kuna jamaa aliniambia nimkubali ivyo ivyo alafu huko mbeleni nitachagua kubaki na bwana alienikuta nae au nibaki nae yeye kwa kweli nilimshangaa sana sijui anajiamini kitu gani.
Wana MMU umemtokea demu alafu anakupa jbu kama hlo je utaendelea kumkomalia au utafanyaje?
alikuwa anapima uwezo wa moyo wako
Mbona akikuambia ndo ameshakurahisishia kazi, kitu muhimu akusikilize tu
Mpaka unaambiwa hivyo ujue ulishakosea