Utafanya nini ukipewa jibu kama hili wakati unatongoza?

Kuna jamaa aliniambia nimkubali ivyo ivyo alafu huko mbeleni nitachagua kubaki na bwana alienikuta nae au nibaki nae yeye kwa kweli nilimshangaa sana sijui anajiamini kitu gani.

Enh ikawajee endeleaa...
 
anasema hawez kuwa na wawl..Hapo je?

Hapo sasa mbona kazi ndogo,utakiwi kumconvince kwa maneno....Muwekee mazingira ya kujiona free ya kuwa na wewe ata kama ana mtu tayari,mpe anachopenda ila anakosa kwa boyfriend wake....mfano,sista du anapenda kuvaa na bwanake hajali kumng'alisha mpige shopping ya vitu asivyovitegemea kuvaa.. Yani inshort cheza na mind yake otherwise awe hajavutiwa mazima.
 
tuliokuwa tunaenda kuwinda, mbwa aliekuwa hakati tamaa pamoja na chenga za maudhi za sungura, marazote alikuwa anatupatia kitoweo na tulimpenda

na ndivyo ilivyo! mfukuzia had mwaka ndio ukate tamaa!
 
Heeeeee em tuambie matokeo yako ya fm6 kwanza !!!!!
 
Yani mimi nilikuwa na majibu tofauti na yako nilidhani anaweza kuwa na ufundi zaidi ya mwenzie au mambo ya ajabu zaidi ya mwenzie hata aliona mwisho wa siku atashinda huwa simuelewi na hajachoka mwaka wa tatu huu bado anasisitiza naisi katimwa.

na atahakikisha kikojoleo chake unakibusu tu. iwe iwavyo
 
Kwa madem wa siku hizi walivyo, mpaka upewe jibu kama hilo utakuwa huna rasilimali alizoweza thaminisha.
 
anataka umpe maneno mazuri, umbembeleze akiridhika atakukubalia .... hakuna asiye na mtu... fanya mapinduzi
 
wengne huwa ni mbwembwe anataka akupime how serious you are
 
Kweli wewe mvulana

Mwanamke anaweza kuwa single or kuwa na mtu mda wowote

Ila wewe mtoto huwez kujua mambo hyo
 
Haya ni majibu ya kawaida labda ukute huyo alie nae amesha muoa.! Ila kama sivyo basi we mwambie tena ningesha shangaa mrembo kama ww mpaka sasa upo single ila nacho amini huyo ulie nae alikua akinituzia nafasi yangu na Muda ushafika.. Wat next hapo nikuonesha ma chejo ya upendo.. hakuna kinacho shindikana kubadilisha akili za hawa dada zetu kazi ndogo sana.
 
Reactions: SG8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…