Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
- Thread starter
- #21
Hapana,mwengine anakuitaji so anakusanua mapema ili ujiongeze mwenyewe kama upo tayari kuwa mchepuko au vp.
anasema hawez kuwa na wawl..Hapo je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,mwengine anakuitaji so anakusanua mapema ili ujiongeze mwenyewe kama upo tayari kuwa mchepuko au vp.
Kuna jamaa aliniambia nimkubali ivyo ivyo alafu huko mbeleni nitachagua kubaki na bwana alienikuta nae au nibaki nae yeye kwa kweli nilimshangaa sana sijui anajiamini kitu gani.
anasema hawez kuwa na wawl..Hapo je?
tuliokuwa tunaenda kuwinda, mbwa aliekuwa hakati tamaa pamoja na chenga za maudhi za sungura, marazote alikuwa anatupatia kitoweo na tulimpenda
Yani mimi nilikuwa na majibu tofauti na yako nilidhani anaweza kuwa na ufundi zaidi ya mwenzie au mambo ya ajabu zaidi ya mwenzie hata aliona mwisho wa siku atashinda huwa simuelewi na hajachoka mwaka wa tatu huu bado anasisitiza naisi katimwa.
na ndivyo ilivyo! mfukuzia had mwaka ndio ukate tamaa!
Kama unampendah kwel itabd uendelee kukomalia.
Heeeeee em tuambie matokeo yako ya fm6 kwanza !!!!!
Heeeeee em tuambie matokeo yako ya fm6 kwanza !!!!!