Utafanya nini ukipewa jibu kama hili wakati unatongoza?

Wanaume msidanganyane.... akisema
Tayari nina mpenzi wangu ujue tu HAKUPENDI WALA HUNA NAFASI kwake.
Ukilazimisha kujitia kukomaa sijui mwanaume hashindwi ndio kuwatafuta ubaya watoto wa kike mje na mada mpya hapa.
ACHANA NAE..
ANGALIA MBELE
 

Mmmh Kweli Wewe 1000GB, Tisha..
 
Wanawake wa afrika wana-complications nyingi sana linapokuja suala la mapenzi...
 
Hamnaga mwanamke mgumu, timing yako tu. Hata kutongoza hakupo sasa hivi,
 
Wana MMU umemtokea demu alafu anakupa jbu "tayari nina mpenzi wangu" pale unavyotongoza? kama hlo je utaendelea kumkomalia au utafanyaje?

Hilo ni moja ya majibu ya kawaida kwa akina dada. Kwa upande fulani linasaidia kutanbua kuwa huyo unayemtongoza si mgeni wa mapenzi kukupa njia rahisi ta kumshawishi.
 
kama ana mtu wake bora ukampotezea.kuepusha shari mana watu wengine ni wakora kwa mademu zao.
 

ndugu yangu na hv vbamia tnaweza kwel kuitndea haki papuchi
 
Juzi tu hapa kuna mbaba alinitongoza nikamjibu hivyo kwamba niko engaged, alichosema mmmm!
Wanume sijui mkoje, umeshajibiwa tena jibu la wazi wala sio la kujing'atang'ata lakini uking'anga'nizi sasa lol!
Mpaka unaguna inaelekea ulishindwa kupangua hoja hapo
 
Kabisa hataki usumbufu wa njemba lakini ukikomaa naye basi huwezi jua.


wengine wanakwambia hivyo hili asije akaonekana anajirahisha kwako
inabid usikate tamaa
 
Last edited by a moderator:
Kuna hili jibu nalo, "hata nikikukubalia ntakuwa nakudanganya tu"...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…