Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Ila huo ubunifu pia umetoka kwenye kiumbe cha asili yani ni sawa ule asali iliyobuniwa kutoka kwenye mali ghafi za asili.
Unaandika kwasababu hayajakukuta. My friend, mambo hayo ni mazito sana hasa yanapomhusisha mzazi. Yaache tu kama yalivyo.
Bila kuwa na nia ovu nia njema ingetambulikaje ? Bila kuharibu kutengenezeka kungetambulikaje? Hauoni hivi vitu vipo kwenye mzani ?Sio shida kuwa mbunifu kwa sababu ubunifu ni sifa ya mtu aliyoitoa kwa uumbaji.
Ishu ipo kwenye ubunifu wenye nia ovu ya kuharibu.
Kwa hiyo ni kisema mimi ni Mungu nipo sawa ?
😁😁😁 umesoma vitabu vya quantum physics mkuu?Upo sawa kwa upande mmoja. Kwa sababu uliumbwa kwa mfano wake(kujua mema na mabaya na utashi wa kuchagua)
Ila haustahili kuabudiwa na ikitokea ukaabudiwa ndio huitwa miungu
Mtu yoyote ambaye haamini katika uwepo wa Ushirikina nae ni mnafiki.
Niliumbwa kwa mfano wake, kwahiyo kuna personality nyingine tofauti na mimi kwenye single combat?Upo sawa kwa upande mmoja. Kwa sababu uliumbwa kwa mfano wake(kujua mema na mabaya na utashi wa kuchagua)
Ila haustahili kuabudiwa na ikitokea ukaabudiwa ndio huitwa miungu
Kama vitabu vya Mungu vinatambua uwepo wa uchawi na kuukemea inakuaje wewe mfuasi wa hizo dini ujifanye hujui kua una exist?Mnafiki kivipi ?
Nimekuelewa kaka katika uzi wako na Comment yangu ilikua additional to your thread. Niliona some comments za wafia dini wakijifanya hawajui nguvu ya ushirikina, wakati vitabu vya dini vyenyewe vinakemea uchawi.Soma mada uelewe.
Kuamini ushirikina ni jambo moja.
Kutambua uwepo wa ushirikina ni jambo jingine.
Unaweza kutambua jambo fulani lipo lakini usiliamini
Soma kwa ufahamu
Kama vitabu vya Mungu vinatambua uwepo wa uchawi na kuukemea inakuaje wewe mfuasi wa hizo dini ujifanye hujui kua una exist?
Hao wataongelewa na Atheists wenzao. Kiufupi wajitathmini.Sio watu wote wafuasi wa dini za ukristo na uislamu.
Atheist unawajua ?
Kujitathmini kivip? Ebu fafanua vizuriHao wataongelewa na Atheists wenzao. Kiufupi wajitathmini.
Sijawahi kukupinga na adhabu ya mshirikina ni kifo.Wachawi wachinjwe
Kama Mungu yupo ndani mwako .......inategemea...........Ni kweli
Na ipo shida Mungu kukufanya wewe kuwa Mali yake binafsi
Bila kuwa na nia ovu nia njema ingetambulikaje ? Bila kuharibu kutengenezeka kungetambulikaje? Hauoni hivi vitu vipo kwenye mzani ?
Kama Mungu yupo ndani mwako .......inategemea...........
Halafu watengweVivyohivyo kumbinafsisha Mungu inategemea
Kumwamini Mungu ni uchaguzi binafsi
Halikadhalika na kuabudu ushirikina