Utafanyaje mkeo au mumeo au mzazi wako akiwa na mambo ya Kishirikina? Hivi ñdivyo utakavyofañya

Utafanyaje mkeo au mumeo au mzazi wako akiwa na mambo ya Kishirikina? Hivi ñdivyo utakavyofañya

Ila huo ubunifu pia umetoka kwenye kiumbe cha asili yani ni sawa ule asali iliyobuniwa kutoka kwenye mali ghafi za asili.

Sio shida kuwa mbunifu kwa sababu ubunifu ni sifa ya mtu aliyoitoa kwa uumbaji.

Ishu ipo kwenye ubunifu wenye nia ovu ya kuharibu.
 
Sio shida kuwa mbunifu kwa sababu ubunifu ni sifa ya mtu aliyoitoa kwa uumbaji.

Ishu ipo kwenye ubunifu wenye nia ovu ya kuharibu.
Bila kuwa na nia ovu nia njema ingetambulikaje ? Bila kuharibu kutengenezeka kungetambulikaje? Hauoni hivi vitu vipo kwenye mzani ?
 
Upo sawa kwa upande mmoja. Kwa sababu uliumbwa kwa mfano wake(kujua mema na mabaya na utashi wa kuchagua)
Ila haustahili kuabudiwa na ikitokea ukaabudiwa ndio huitwa miungu
😁😁😁 umesoma vitabu vya quantum physics mkuu?
 
Upo sawa kwa upande mmoja. Kwa sababu uliumbwa kwa mfano wake(kujua mema na mabaya na utashi wa kuchagua)
Ila haustahili kuabudiwa na ikitokea ukaabudiwa ndio huitwa miungu
Niliumbwa kwa mfano wake, kwahiyo kuna personality nyingine tofauti na mimi kwenye single combat?
 
Soma mada uelewe.

Kuamini ushirikina ni jambo moja.
Kutambua uwepo wa ushirikina ni jambo jingine.
Unaweza kutambua jambo fulani lipo lakini usiliamini

Soma kwa ufahamu
Nimekuelewa kaka katika uzi wako na Comment yangu ilikua additional to your thread. Niliona some comments za wafia dini wakijifanya hawajui nguvu ya ushirikina, wakati vitabu vya dini vyenyewe vinakemea uchawi.
 
Wengi hawatakuelewa, lakini andiko katika biblia ya kwamba mchawi hataiwi kuishi limebeba ujumbe mkubwa sana.....hakuna jema ambalo atafanya mchawi au mshirikina awe mzazi, ndugu, rafiki nk....na unakuta kuna watu wanaoenda kwa waganga wa kienyeji kuagua na bado wanalaumu mauaji ya yule mtoto albino, wakati kimsingi na wao ni sehemu ya ajenda hiyo hiyo ya mauaji ya kafara za kiganga na kichawi....​
 
Bila kuwa na nia ovu nia njema ingetambulikaje ? Bila kuharibu kutengenezeka kungetambulikaje? Hauoni hivi vitu vipo kwenye mzani ?

Utakapokuwa na mtoto ukamwambia asiingie katika chumba ulichomkataza kwani huko umeweka Sumu lakini kwa upande mwingine sumu hiyo ni dawa katika matumizi mengine.

Sio lazima ujue madhara ya kitu mpaka kikupate
 
Back
Top Bottom