Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Na kwenye kupokea nauli musemege kuna dharura ili muamala usitishwe mara moja! Sio unasubiria hela inaingia unaitoa halafu unabadili gea angani!Kwahiyo muwe waelewa tu jamani, mambo mengine huwa hatupangi yawe hivyo ila inatokea tu[emoji1787]