Utafanyaje ukifanya maandalizi kibao halafu mpenzi asitokee kwenye miadi?

Kwahiyo muwe waelewa tu jamani, mambo mengine huwa hatupangi yawe hivyo ila inatokea tu[emoji1787]
Na kwenye kupokea nauli musemege kuna dharura ili muamala usitishwe mara moja! Sio unasubiria hela inaingia unaitoa halafu unabadili gea angani!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unakunywa zako pepsi ya baridii unatulia tu unacheki movie.
Huu uhuni utanifanyia mara moja tu ila ukiingia kwenye 18 zangu jua utafurahia show😂
 
Na kwenye kupokea nauli musemege kuna dharura ili muamala usitishwe mara moja! Sio unasubiria hela inaingia unaitoa halafu unabadili gea angani!
Sasa si dharura imetokea baadae, si unajua dharura haina muda jamani[emoji2369]
 
Sasa si dharura imetokea baadae, si unajua dharura haina muda jamani[emoji2369]
Dharura hio itakukuta nawewe siku moja utacheka! Unaitiwa hela halafu unaishia kupigwa free kende.
 
Dharura hio itakukuta nawewe siku moja utacheka! Unaitiwa hela halafu unaishia kupigwa free kende.
Hiyo sasa inakiwa sio dharura ni kusudi, na kwenye mahusiano hatutakiwi kufanyiana makusudi jamani!
 
Hiyo sasa inakiwa sio dharura ni kusudi, na kwenye mahusiano hatutakiwi kufanyiana makusudi jamani!
Dharura hairuhusiwi! Ukisema unakuja umaanishe, tena inakuwaga inaboa day 1 tu mtu unaanza dharura zisizo na msingi
 
Mrudie Mungu acha uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…