.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...
YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Ntaongea na mungu wangu tusasa mkuu utaongea na nani
Kila k2 ktakuwa changu mkuu,halaf wanawake watakuwa hawapo,saf snaKwanini ufurahi kishenzi mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]umenifurahisha sanaNitajiita Adam,
Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.
Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.
Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.
Hahaha, nimefurahi kuwa mmoja wa waliokufurahisha. Wewe ungelufanyaje? Au ungekuwa ubavu wa Adamu (mimi).[emoji23][emoji23][emoji23]umenifurahisha sana