Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛


mkuu nitaenda kwanza kwenye chimbo flani hivi ambako huwa nachoma kitimoto,nachoma kawanza kama kilo 5 hivi,nakaa nazo chini naanza kuzishughulikia.....kesho nitakujuza hatua ya pili itakayofuata
 
..watu wanaona kama hili swali ni la kibangibangi, majibu ya hapa yanaakisi watu wengi. Nimeamini kweli sisi waafrika wabishi kwenye kufikiri. Lakini pia ni wazi kuwa watu hawana imani ya kiroho, mawasiliano ya binadamu na MUNGU bado ni jambo mtambuka.. Just imagine umeshaona hakuna watu umebaki alone lakini bado unawaza kutenda dhambi. Oh, Mungu atuhurumie..
 
Ndio utakapo jua dunia si kitu chochote ..nitaomba sana Mungu mbona umeniacha naamini atanajibu atanipa muelekeo.
 
Magari c yatakuwepo Na funguo ndan? Sheli nazo c zitakuwa waz? Ni mwendo Wa kuwa kichele tu huku nimetulia Na paka wangu
 
Nitajiita Adam,

Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.

Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.

Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.
[emoji23][emoji23][emoji23]umenifurahisha sana
 
shida itakuwa kubwa, maana utakosa mahitaji muhimu kama matibabu, vyakula, hata mfano kiberiti cha kuwashia moto maana gesi haitakuwepo, utaanza kula kama tumbili.
 
Ntaend haraka haraka mpka ofisi za mwanasheria mkuu wa serikali nipekue mafairi kujua ni nan hasa Alihusika kwenye mikataba ya madin na nijilidhishe kuhusu kes za EPA MELEMETA DOWANSI ESCROW Na RADA FEKI hv ziliixha kweli au kikombe ch babu kilitumwa kutuvuruga tugeuke nyum hko mbele wafch wali chin y kabat?!
 
Back
Top Bottom