Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Nitajiita Adam,

Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.

Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.

Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.
Hahahaha mbavu Sina
 
Naenda BOT nachukua pesa[emoji385] [emoji385] zote alafu nakimbia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sipendagi ujinga
 
Naenda BOT nachukua pesa[emoji385] [emoji385] zote alafu nakimbia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sipendagi ujinga

sasa hizo utanunua nini wakati dunia nzima uko peke yako
 
Back
Top Bottom