Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa mm ni mwanaume lazima kutakua pia na mwanamke yuko peke yake mahali....kwa hio ntamtafta ad nimpate,, af nampiga mimba...kinachoendelea kila mtu anajua.
Hata mwanamke mmoja? [emoji16][emoji16][emoji16]
kweli kabisa mkuu [emoji106] [emoji106]
Siasa au dini?Nitajiita Adam,
Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.
Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.
Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.
Yapo mengi lakini hilo la mtoa mada hata unishikie bastola sikubali kabisambishi wewe... mangapi yametokea na hukutarajia kama yangetokea
Yapo mengi lakini hilo la mtoa mada hata unishikie bastola sikubali kabisa
kivipi ??? Leta ushahidiUnaweza usiamini ila linawezekana
kivipi ??? Leta ushahidi
sawa lakini mi siaminiushahidi ni yale yaliyotokea ambayo hukuwah kufikiria km yanawezekana
OK OK sawaNdo maana nimesema kwa mfano.. we jamaa vipi utasemaje haiwezekani wakati siyo ww unayecontrol dunia