Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Hata mwanamke mmoja? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa kuwa mm ni mwanaume lazima kutakua pia na mwanamke yuko peke yake mahali....kwa hio ntamtafta ad nimpate,, af nampiga mimba...kinachoendelea kila mtu anajua.
 
Nitajiita Adam,

Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.

Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.

Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.
Siasa au dini?
 
Weka picha kwanza ukiwa peke yako dunian Alf ndyo tukushauri
 
Me taenda hazina bot, kwa bakhressa, mo na mengi nikafanye yangu mapema, maana unaweza kulala tena ukaamka ukakuta watu wote wamerudi tena.
 
Poa tu, ntaoga then ntaanza kuzurula kutalii maeneo ambayo sijawai fika,

Kila ntapoenda ntahakksha naacha taa zinawaka ili hata ucku pawe peupe,

Ntatafuta mbwa niwafundshe baadhi ya vitu maisha yataendelea ad na mm ntakapochukuliwa.
 
Back
Top Bottom