Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Komassava!
Msaada wa ushauri.
Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli.
Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha
Je unamshauri nini