Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

Mkeo anaweza kukuficha kwa hofu tu ya kuogopa utamwacha lakini hana nia mbaya na wewe.

Cha kufanya kama huyo mke umeshazaa nae ni kumkubali huyo mtoto na kumlea sawa na mwanao wa damu akiwa mkubwa atakuthamini kwa malezi yako kwake.
 
Kama ni wakike sawatu amlete nyumbani pengine anaweza kuwa mchepuko wangu
 
Jirani yangu kaoa dem alamficha ana mtoto anakaa kijijini kwa mama mkwe! Sasa kila akitoa ela matumizi vitu home havinunuliwi ! Juzi ndo amesema ukweli ana mtoto eti anadai mtoto apelekwe shule ya hadhi! Mimi kama mwanaume sitaki hii ujinga kkwa nini ufeche?
 
Mwanamke anaficha kizaz chake

Sasa ww atakuweka wapi
Fikiria Kwanza yaani kizaz chake alichozaa Kwa uchungu akakuficha
Ww mume wake atakuweka wapi 😄😄😄

Huyo unapga chin total hamna huruma hapo
Atamficha mume kwenye mbususu
 
Back
Top Bottom