Sasa huyo unayetaka alee ndiye alimkimbia? Mimba apewe na mwingine halafu mzigo mnataka abebeshwe mwingine, ebwoo!!
Yote inawezekana, pia inaweza ikawa ni TikTik kampeni ya kushawishi wote wakubali tu kulea, maana sasa hivi watu hawataki kusikia ujinga huo. Pia kuna haohao single mom walilelewa wao na watoto wao lakini ukubwani watoto wakatambulishwa kwa baba zao na wale baba walezi walipotezewa mazima.
Ya Mungu Mungu sawa, olewa na aliyekuzalisha. Hivyo ndivyo Mungu atakavyo, au Mungu sasa hivi amebadilisha utaratubu anataka watu wazaezae kwanza ndipo baadaye wakatafute ndoa? Maana miungu ni wengi