Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ca va bien! Ntampongeza na kujua kwamba mayai yake ya ujana hakukaangia chipsi.Komassava!
Msaada wa ushauri.
Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli.
Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha
Je unamshauri nini
Alizaa na kaka yako au mwanaume mwingine?Komassava!
Msaada wa ushauri.
Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli.
Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha
Je unamshauri nini
Kinyume cha haram ni halali. Huyo si mtoto wake halali kwa sababu yeye siyo baba halali wa mtoto, tusaidie kinyume cha halali ni kipi.Amzalishe watoto wengine, hakuna mtoto haramu shekheee.. watoto ni baraka.. Kaka yako apige kimya kama haoini.. Ningekuwa mie ningefanya kama huu ushauro wangu
Kwa hiyo kwa kuwa kuna wanaume wanapuyanga wewe ndiyo unajitokeza kuwa mfukia mashimo wao na mbeba dhambi zao kwa kujiokotea wanawake waliozalishwa na hao wanaume?Binafsi sitaki kuwa muhukumu kwa sababu hakuna binadamu mkamilifu kwa kuzingatia hao single maza mimba zao hazikutungwa kwa uwezo wa roho mtakatifu. Kuna wakati hata sisi wanaume tunapuyanga sana kwa hili na sisi pia tuwajibike na sio kuwatupia tu lawama.
Mtumishi sabato njemaWewe ni robot la matope
Na wewe ikawa kinyume chake, unamaliza hilo linakuja la kwako tena muda huo huo unasikia watu hodi hodi mara watu na mwanamke uliyezaa naye kaja na mtoto tena photocopy hakuna cha DNA hapo yani mtoto utazani pacha wako hiyo inaitwa, what goes around comes aroundKomassava!
Msaada wa ushauri.
Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli.
Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha
Je unamshauri nini
Hii ndiyo mbwa kala mbwaWakwangu aliniambia ana mmoja, baada ya miaka 8 nakuja gundua ana watatu
😂Amuulize kaburi lipo au halipo? Kama hamna kaburi mwambie bro abebe begi lake.....
Yuko wapi kwanza.
Nitamwambia hakukuwa na sababu ya kunificha kuhusu huyo mtoto.Komassava!
Msaada wa ushauri.
Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli.
Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha
Je unamshauri nini
Na wewe ni mono mum ?Mnaongea vibaya sana juu ya single mom's, hivi hizo mimba walijiweka wenyewe?si mliwakimbia!
Niliona tiktok mtoto wa single maza anajengea babake aliemlea nyumba kali,huyo mtoto ndio anainua hiyo familia,anasomesha hata watoto wa babake wa kufikia.
Ya MUNGU mengi msimalize maneno.
Sasa huyo unayetaka alee ndiye alimkimbia? Mimba apewe na mwingine halafu mzigo mnataka abebeshwe mwingine, ebwoo!!Mnaongea vibaya sana juu ya single mom's, hivi hizo mimba walijiweka wenyewe?si mliwakimbia!
Yote inawezekana, pia inaweza ikawa ni TikTik kampeni ya kushawishi wote wakubali tu kulea, maana sasa hivi watu hawataki kusikia ujinga huo. Pia kuna haohao single mom walilelewa wao na watoto wao lakini ukubwani watoto wakatambulishwa kwa baba zao na wale baba walezi walipotezewa mazima.Niliona tiktok mtoto wa single maza anajengea babake aliemlea nyumba kali,huyo mtoto ndio anainua hiyo familia,anasomesha hata watoto wa babake wa kufikia.
Ya MUNGU mengi msimalize maneno.
Hahaha,am happily married Mkuu,but why mnawadharau sana wanawake single,huwa roho ya huruma na ubinadamu inanitesa.Na wewe ni mono mum ?