Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Habari za asubuhi
Katika tafiti yangu hii nimekuja na sababu kuu 2 ambazo ukizifatilia kwa undani utaungana namm kwenye hili suala
1. Kipindi hicho kulikua hakuna na huduma za miamala ya simu hizo binti akipinga mzinga/kirungu lazma afate geto kwa miguu yake, kulikua hakuna mambo ya kutuma pesa ndo mzigo uje ilikua mzgo uje ndo uupe pesa na kama kawaida tunajua hakuna mwanaume anaeweza kuacha mali imeingia geto bila kuichakata.
2. Kwa tafiti za kawaida watoto wengi wanaotamba mjini wamezaliwa miaka kati ya hiyo 1990-2005 hii inaonesha wazi kua miaka hiyo zilichapwa sana bila huruma, hata masingo mama wengi wamezaa hao watoto wao humo katka miaka hiyo na tunaweza sema hicho ndo kipindi cha revolution of single mothers.
Mwisho, ukiondoa wanaume wazembe wachache walikua active miaka hiyo kingono yani kubalekhe kama Echolima1 na loose Nut nina uhakika asilimia 70 ya watu Tanzania wangekua product ya miaka hiyo
Asanteni