UTAFITI: 20% ya wanaume huvaa nguo ya ndani (boxer/chupi): 1 kwa wiki nzima.

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,475
Reaction score
12,281
Utafiti uliopotiwa mtandaoni ulikugundua kuwa asilimia 20 ya wanaume walikiri kufanya hivyo, jambo ambalo lilizua miitikio tofauti tofauti mtandaoni.

Wataalamu wa afya kwa ujumla wanapendekeza kubadili chupi kila siku ili kusaidia kudhibiti jasho, harufu mbaya, na mkusanyiko wa bakteria. Hii ni tabia rahisi ya kila siku inayoweza kuleta mabadiliko katika usafi wa kibinafsi.

Bila shaka, utafiti mmoja hauwakilishi kila mtu, na tabia nzuri za usafi hutofautiana kutoka mtu hadi mtu. Lakini kubadili chupi/nguo ya ndani kila siku ni hatua ndogo inayoweza kukusaidia kubaki safi na mwenye amani.

Huwa una badili nguo yako ya ndani kila baada ya muda gani?
 
Wanaume wanaobadili kila siku ni wanakaa na wake zao.
Mabachela 90% wanaobadili zaidi ya wiki labda woote usiku ndo anabadili asubuhi.
 
Leso, soksi, vest na Boxer ni changamoto sana kwa wanaume usipokua makini. Rahisi mno kutozingatia.

Binafsi, asilima 90 nnanunua nyeupe.
Subiri uje uambiwe ni GAY, wanasema mwanaume kuvaa nguo za ndani nyeupe ni 🌈🌈.
Sio mie ni Waja wenyewe.
 
Nguo ya ndani ya mwanamke sio fasheni na haina mvuto wa kimahaba kama nguo ya ndani ya mwanamke. Hata ikivaliwa mwezi mzima poa tu, zinavaliwaga mpaka zinachakaa na kuchanikachanika/kutoboka. Wanawake kubadili chupi kutwa mara mbili au tatu ni kawaida kwao
 
Back
Top Bottom