AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Kikubwa uwanaume na huasili wa uwanaume usitoke
Uanaume ni kusaka manoti, uchafu ni hulka wala haina jinsia.Wanakuambia huo ndio uanaume.
😂😂😂
Wangu harudii tangu akiishi mwenyewe. Namshukuru mama mkwe alifanya kazi njema😅Ila wake zetu wana vibarua vizito sana.Wanahakikisha haurudi boksa mara nyingi ili usinuke shombo.Big ups kwao!
Ukiweza kubadili mara mbili kwa siku asubuhi na jioni ....most of the time watu wanaoga asubuhi na jionUkimuuliza mbona anajikuna sana anakuambia machale yanamcheza.Bloody machale!😂😂😂😂
Na yale matone ya mwisho ya mikojo?Mungu akinijalia mwenza nitajitahidi niwe nabadili mara kwa mara... Ila kwakuwa nipo man solo acha nivae hata kwa siku nne sio mbaya😎😎😎
NB: wanaume kidogo maumbile yetu yapo tofauti.. mpaka uwe mchafu na kutoa harufu huko down ,itakuwa na wewe huogi regularly
Duh haikuwa poa! Mabinti walianza kuvaa zao nyanya puzo ilikuwa freshy tu!ukweli ni kuwa nguo za ndani zimekuja juzi juzi tuuu kipindi cha kina MUSA Abraham ni mwendo wa rubega
idadi ya wanaume alionao siijui ila chupi alizo nazo ni nyingi, kila akioga anabadilisha, ananilazimisha na mimi nibadili boxer kila nikiogaDemu wako ana wanaume wangapi
Sio kwa siku boxer tatu yaani boxer tatu siku moja sio kweliUnavaaje boxer hadi inabadilika rangi ndipo uivuwe
Hausikii harufu ya uchachu na uvundo?Mimi sibadilishi boxer mpaka nione pindo zake zimegandamana kama zimepakwa parachichi bivu.