MKE WANGU KAJIPNGEZA NA KUNINUNULIA BOXER 7, SASA NABADILI KILA SIKU KAZI YAKE NI KUFUA.Utafiti uliopotiwa mtandaoni ulikugundua kuwa asilimia 20 ya wanaume walikiri kufanya hivyo, jambo ambalo lilizua miitikio tofauti tofauti mtandaoni.
Wataalamu wa afya kwa ujumla wanapendekeza kubadili chupi kila siku ili kusaidia kudhibiti jasho, harufu mbaya, na mkusanyiko wa bakteria. Hii ni tabia rahisi ya kila siku inayoweza kuleta mabadiliko katika usafi wa kibinafsi.
Bila shaka, utafiti mmoja hauwakilishi kila mtu, na tabia nzuri za usafi hutofautiana kutoka mtu hadi mtu. Lakini kubadili chupi/nguo ya ndani kila siku ni hatua ndogo inayoweza kukusaidia kubaki safi na mwenye amani.
Huwa una badili nguo yako ya ndani kila baada ya muda gani?
ila akiwa safari navaa moja wiki nzima