UTAFITI: 20% ya wanaume huvaa nguo ya ndani (boxer/chupi): 1 kwa wiki nzima.

Ungejua bei ya boxer tena low quality za mchina ndio ungeona ukubwa wa tatizo.

Boxer standard kabisa bei ya chini 10K unadhani kama sio brazameni ni wanaume wangapi wanaweza kuacha kula mmaaa wakanunue boxer 10 kwa laki.

Mwanaume kwa uchache anatakiwa awe na boxer 14. Na kila siku anabadili hii ni kwakua wengi ni wavivu wa kufua kwahiyo kuwa nazo nyingi ndio ponea ya wavivu.Ukiwa na boxer tatu nne huo ni UMASKINI NA HUJITAMBUII!!!

Ayways kupanga ni kuchagua.
 
Subiri uje uambiwe ni GAY, wanasema mwanaume kuvaa nguo za ndani nyeupe ni 🌈🌈.
Sio mie ni Waja wenyewe.
Kwa umri huu siogopi waja wanasema kitu gani (hasa kama haiathiri mtu mwingine na sivunji sheria). Ukisema ufurahishe waja, utashindwa kuishi maisha yako.

Nyeupe zina raha yake (hasa cotton Diesel)
 
Bei ya boksa siyo hoja ya mtu kuwa mchafu.Unaweza ukawa nazo tatu tu ila mambo yakawa shegedansee!
 
Kwa mwanaume boxer mbili tatu zinatosha. Wanawake ndio huwa na chupi nyingi, chupi moja kwa mwanamke haitoshi, itachanika na kuchafuka vibaya pale mbele kwenye utamu. Hedhi zao nazo huchafua chupi sana hata kama ameweka pedi au matambara. Mwanamke kuwa na chupi nyingi ni umaridadi na usafi, kila akikutana na mwanaume mwingine atamvalia chupi tofauti na wa mwanzo, kila siku mwanamke hubadili chupi, mwanamke mmoa anaweza kuwa na chupi ishirini na huzivaa kwa muda mfupi anazitupa ananunua zingine mpya
 
nadhani for single ladies and gentlemen kwa sehemu kubwa inaweza kua kweli,

but,
for married families hakuna kitu kama icho🐒
 
Mwanaume unatakita kuwa msafi wa wastani inatosha hayo mambo ya kua na boxer50 kuoga x3 kua na vipodoz tuwaachie wanandoa na machoko
 
Demu wako ana wanaume wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…