UTAFITI: 20% ya wanaume huvaa nguo ya ndani (boxer/chupi): 1 kwa wiki nzima.

MKE WANGU KAJIPNGEZA NA KUNINUNULIA BOXER 7, SASA NABADILI KILA SIKU KAZI YAKE NI KUFUA.

ila akiwa safari navaa moja wiki nzima
 
Kwa umri huu siogopi waja wanasema kitu gani (hasa kama haiathiri mtu mwingine na sivunji sheria). Ukisema ufurahishe waja, utashindwa kuishi maisha yako.

Nyeupe zina raha yake (hasa cotton Diesel)
Umepigaje hapo?? Uko vizuri sanaa.
🔥🔥🔥
 
Mimi mmoja wapo!!
 
Mnatudhalilisha bhana,au hamjui kuna wanawake humu ndani...
 
Acha uchafu, khaah
Uchafu ni kuvaa nguo ya ndani kwenye joto kali unapata fangasi na utoko kwenye kona maungia ya mapaja
hata ufue vipi hiyo hali ni endelevu
siwezi kuandika sana ntafute pm au ntumie no yako huko huko mkuu!
 
Uchafu ni kuvaa nguo ya ndani kwenye joto kali unapata fangasi na utoko kwenye kona maungia ya mapaja
hata ufue vipi hiyo hali ni endelevu
siwezi kuandika sana ntafute pm au ntumie no yako huko huko mkuu!
Eleza hapa hapa.
 
Wanawake wanatupush sana kwenye usafi, kitendo cha kuoga tu lazima ubadli nguo, nlivokuwa peke angu nlikuwa nabonda tu boxa na kunyonga
 
Wee hiyo mara mbili au tatu si kwa wanawake wa bongo labda sayari nyingine
 

Tatizo la baadhi ya vijana wa kizazi hiki hata ukifanya utafiti wa kuwashirikisha watoe maoni unaweza kupata matokeo yasiyo sahihi kwa sababu wengi hawatoi maoni ya kweli....kila kitu kwao ni utani...
 
Ni kweli kabisa wengine hata mwezi tunadunda nazo hadi wenzetu wanatubadilisha kwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…