UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Tukiwa chumbani all is allowed...halafu mi mtoto wa kike, whats the worst that could happen?
weeeeh kasema nani?????!!yan jaribu kugusa ndo utajua wapi alifichwa Roma alipotekwa!!
unishike tako!??? Mungu akusaidie kukuonyesha nini kitakupata sehmu nyingine!
we subiri kushikwa tu......ndo stahili yako!
 
Hahahaahahahhahaha....
 
Mwanaume Upake Mafuta Makalioni Yakiwa Laini Haaaa Huo Sasa Utata!
 
Utaanza kupaka baby care ukinogewa utapaka hadi ky mwanaume mafuta ya nini matakoni
 
Huyu mleta, Uzi, naye, mwanaume rijali,unaanzaje kushika shika makalio yako? Labda uwe umepoteza marinda aise
 
Mie natembea uchi hobby yangu kubwa basi napita jikoni sebuleni huku uchi raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…