UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Mtoto wa kiume Unapaka vilainishi kwenye makalio??? Hasara kwa wazazi wako. Mwanaume rijali ukishikwa kalio na mwanamke unamkata kibao akitema mate ana tema na meno au damu. Mwanamke anatakiwa kushika pipe tu sio makalio
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta

Unamshika hilo eneo kwa lengo gani dear?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
do unanikumbusha muda kidogo, kuna wakati nilikua naumwa sasa nikawa nimeandikiwa sindano na nesi ni kasichana pale dispensary ya railway moshi, do ikawa inanilazimu kupaka matako mafuta na kubadilisha chupi kila niendapo kuchoma sindano,
 
Hata minara mafuta ya nazi ya 1500. Sio boxer inaenda kufuliwa ina magamba
Mrembo kama wewe kufua magamba ndo nini??[emoji30] [emoji30] [emoji30]........Dear njoo kwangu ukutane na kitu mtelezo please!![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kalio la mwanaume ni no fly zone,haruhusiwi mtu yoyote kunigusa eneo hilo ni kama mpaka wa korea kusini na kaskazini (DMZ),mie mwenyewe sijigusi huko isipokuwa kwa dharura na kibali maalum.kama kukauka wacha pakauke tu.
 
Da hii kali mafuta kwenye makalio mm sukumbuki lini nimepaka mafuta mwili kwangu
 
Mnatutisha manesi jamani tukiwachoma sindano. Hebu muwe na huruma
Mara ya mwisho kuchoma sindano ilikuwa mwaka 99,tena kwenye chumba cha upasuaji na baada ya kuvutishwa ile nusu kaputi,mpaka leo,staki kabisa kusikia hiyo kitu.kama ni dawa nipewe nimeze/ninywe au nipake kwan kunaulazima gani dawa ipitie matakoni?
 
Nimecheka mpaka nimekumbuka watoto wangu wa me wakifika kaumri nikiwanunulia losheni awapaki wanapaka mafuta mgando tena usoni tu ! Najaribu kuwaamlisha awataki kataa! Nimejifunza kitu jf raha[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom