UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Mwanaume rijali hana muda wa kulainisha makalio yake ili yaweje? Amuone nani ? Kwanza kwanini unamruhusu mwanamke akushike makalio ? Pumbaaaaavuuuuu shikeni adabu zenu.
 
Thread za kibashite hizi shida kweli!. Yaani unataka mwanaume alainishe makalio yake.
Ukapimwe akili Aiseeee!!!
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta

Hii sehemu unataka kuitelezesha kwa madhumuni yepi?
 
Mimi napaka a ni umaridadi tu kama unajipenda unapaka wala haina Shida yoyote unakuwa na ngozi nyororo zaidi na unabaki mwanaume kama kawaida
Wachafu utawajua tu lazima watafute kisingizio.
 
Back
Top Bottom