UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Mafuta makalioni??

Labda mashoga a.k.a wafumuliwa marinda
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
Queen mpka unakwangua. Unatafuta nn..Na huyo mwaume anakua amekaa style gani mpk unaonaaa?
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta

Ha ha ha haaaa huo utafiti uko sahihi sema data mmekosea kidogo. Nafikiri ni 100% sioni mwanaume akipaka mafuta hayo maeneo. Kwa upande wangu mafuta naweza nisipake kokote ilimradi niwe na deodorant, inatosha sana.
 
Narudia tena mimi ni Nesi mkuu...utafiti nafanyia kwa wagonjwa
Asante sana nesi. Nitakuja pia..... Na baada ya service nipangie tarehe ya kurudi uone kama bado litakuwa na vumbi au la. Ingawa kwa imani na tabia zangu najua litaendelea kuwa lilivyo leo
 
Acha kuchungulia makalio ya me
Ndo maana mi nkienda hospt huwa sitaki kuhudumiwa na ke
 
Sio tako tu,hata mikononi lazima umoja wa mataif A uingilie kati,,hatupaki wese sisi
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta

Nimecheka sana leo.
I think option (c).
 
Yani hakuna mtandao wa kijamii ninaoupenda kama jamii forum. Long Iive jamii forum.
Yani hizi koments ninacheka hadi basi.
 
Tupake arafu yawe laini ili iweje sasa #$%@sifanyagi ujinga huo tako la dume lazima liwe tofauti na ke
 
Kwahyo mnachofnya nyie na siye vidume tufanye ivyo... mwishowe mtauliza kwann sie tunasimama wakat tukiwa tunakoj*a, Utofauti lazima uwepo...
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta

Kaka Ngalikihinja,huyu QUEEN V anawatafuta nini? maana nimecheka hadi nikaogopa.
 
Back
Top Bottom