UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
Koma Nipake mafuta ili nimfurahishe nani kwamfano
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
Ni kweli kabisa. Tatizo linakuja kwamba watu wengine wanakaa sehemu za joto, hata kupaka mafuta usoni tu ni tabu itakuwa matakoni?. Huko matakoni unapaka unamlainishia nani? Nani anapaona au huko matakoni kuna kuna ugumu kiasi gani hadi upalainishe kwa Mafuta. Mambo mengine tuwaachie wakina Miss Natafuta.🙁
 
Hivi ni mafuta gani hayo mnapaka ambayo yana joto? Kimbo?
Mimi napaka mafuta ya nazi mwili mzima sisikii joto wala fukuto!
 
Hivi ni mafuta gani hayo mnapaka ambayo yana joto? Kimbo?
Mimi napaka mafuta ya nazi mwili mzima sisikii joto wala fukuto!
Basi Mwili wako mdogo, Mimi na huu ubonge nianze kupaka mwili mzima..itabidi nlikimaliza kupaka nirudi kuoga coz jasho litanitoka kweli kweli. Ila hii ya kulainisha makalio inanitia shaka kma itazingatiwa na wanaume. Bora nipake mafuta Kichwani na Miguuni.
 
Hivi ni mafuta gani hayo mnapaka ambayo yana joto? Kimbo?
Mimi napaka mafuta ya nazi mwili mzima sisikii joto wala fukuto!

Bibie naomba nikupake mafuta mwili mzima...siku moja!!
 
Mimi napaka a ni umaridadi tu kama unajipenda unapaka wala haina Shida yoyote unakuwa na ngozi nyororo zaidi na unabaki mwanaume kama kawaida
 
Kwakweli sijawahi kumuona mme wangu akipaka mafuta hayo maeneo. Ni usoni tu na mikononi.
 
hahaha,,,kweli shidaaa,,,wanaume wa siku hizi wamezid madem kujipodoa,,,mwanaume mzuri hadi mnatamanisha,,,mnatutia majaribuni kabisa,,,hasa dar jamen mmezidi,,,punguzeni kujipodoa na kupendeza hivo,,,loooh
 
Wanawake wenyewe hawapaki mafuta wanapaka cream sis ndio tupake mafuta wee jamaa VIP aroo
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
oh my God! sikumbuki lini nilipaka makalio yangu mafuta. na sio makalio tu, mgongo,tumbo,mapaja,naniliu(mjomba) etc. nilijaribu kwenda kwenye massage palour fulani, walinipaka hayo mafuta lakini niliishia tu kufanya ngono zembe Mungu akaniokoa na ukimwi siku hiyo, ila nikioga nyumbani sehemu pekee ninayopata mafuta ni usoni na mikononi na kichwani mara chache. na kwa jinsi nilivyo busy kufukuzana na muda hata mke wangu anapata shida kunikumbusha umepaka mafuta usoni?hahahaha, manake anajua ninaweza nikaondoka hata usoni sijapaka. sioni umuhimu kupaka paka mafuta. ilitokea siku moja nipo mkoani, si nikajua niko dsm, nikaoga vizuri sijui kama nimebabuka usoni kwa baridi...nikaulamba nikatoka mbio kwenye shughuli zangu, sasa kila ninayekutana naye naona ananiangalia sana usoni nikajua wamenifananisha, ilikuwa asubuhiasubuhi, kesho yake nikasema nijiangalie usoni kwenye kioo cha kulekule gesti pengine nitakuwa na mwonekano mbaya au nina ngeu mbona wananiangalia sana...dah? kuja kugundua, kumbe kwasababu ya joto la dsm na vipelepele vya joto usoni sometimes, ukienda mkoani vile vipele vinafanya kama mabakamabaka usoni....watu wanaweza kufikiri una ugonjwa wa ngosi...hahahahaha.
 
Back
Top Bottom