UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora..... Nilitengemea wangemlaani mleta thread cha kushangaza hadi mda huu sijaskia tamko kutoka kwao.... Kwa huu udhalilishaji
Mkuu walinilaani..ndo nimetoka kujiosha mto Jordan kutoa laana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii thread bwana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiona thread kama hii unamuita na unni. Yaani hizo comment nimecheka hadi nimekaa chini sijui nilikuwa wapi kuuona mimi huu uzi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiona thread kama hii unamuita na unni. Yaani hizo comment nimecheka hadi nimekaa chini sijui nilikuwa wapi kuuona mimi huu uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nisamehe Unni,nitakuwa nakuita mpenzi.
Yani mimi ile siku nilicheka kidogo nizimie.
 
jibu ni c, kwanza ukipaka mafuta kwenye makalio tunachafua boxer, pili sio vizuri mwanaume kupaka makalio mafuta,we siunakumbuka hapo juzi ben pol alivyopakwa mafuta watu wakaongea sana na tatu tako la kiume lazima liwe na vipere vipere ndio uanaume huo ,paka mafutayako uone kama tako alitakuwa jepesi kama la gigi money. watu tuanze kukutamani.
 
Katika utafiti wako umewakagua wanaume wangapi ili kuja na hoja ya asilimia 99%?
 
Back
Top Bottom