The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Unapambana na Islamophobia huku ukikaa kimya juu ya Hatred juu ya Wakristo?
That is almost the best way of promoting Islamism. Ni kujidanganya kitoto kuwa unachukizwa na chuki dhidi ya Uislamu huku ukijidai kutoupigania huo Uislamu.
The truth is, you have been against those who show hatred again Islamic religion and never being on the side of the attacked, as a person.
Being against Islamophobia while being quiet towards Christianophobia is a simple way to show that you are promoting Islamic religion..
Nafikiri unalazimisha maoni yako au mtazamo wako kwangu...
Kama napambana na islamophobia...na hate na kejeli Kwa Viongozi wa Kiislam....sio lazima kabisa nipambane na hiko unacho kiita hate against Christianity Kwa sababu kwanza je kipo?
Manake hata Hilo Neno umejaribu kulitengeneza hata uki Google hulipati..lakini hebu Google 'islamophobia "...ujielimishe...
Dini hizi sio kama Simba na Yanga ..
Kwamba ili nionekane fair nitetee zote wakati wanaokumbana na chuki ni upande mmoja mostly...
Kingine ni kwamba watetezi wa Christianity mpo Wengi Sana humu ... countless kuliko wanaopambana na Islamophobia.....sasa why nifanye kazi ambayo ina watetezi Wengi tayari WA kutosha...badala ya kusaidia wanao "onewa" ??