joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mimi mtaa nilioishi waislam ni wengi, kipindi cha nyuma enzi zetu kulikuwa kuna madrasa kama tatu,makuzi yangu ya utoto majority ya marafiki zangu mtaani ni Waislam.So nimeongea kwa kusample kwenye mitaa iliyo nilea.Umeishi na Waislam wa wapi? Kwa zamani sawa...ila wasasahv ni Wanafiki wakubwa, wanafanya sana Uzinzi na uchafu mwingine ila Masjid hawaachi kwenda
Mimi ninaishi nao huu mwaka wa 10.