#COVID19 Utafiti: Asiyechanja hatarini kufa kwa COVID-19 mara 11 zaidi ya aliyechanjwa

Experts say the country’s high vaccination rates are keeping case numbers down and reducing hospitalization and deaths even as the delta variant is provoking an uptick in infections. Data from Johns Hopkins University shows Israel documented 1,118 new cases on July 21 -- which is less than a tenth of the 11,934 new cases the country had at its peak on Jan. 27, before vaccines were widespread.

“It doesn’t mean vaccines don’t work,” Dr. Robert Cyril Bollinger, Johns Hopkins University professor of infectious diseases, said about Israel’s data. “They have very low rates after vaccination versus where they were before vaccination.”

The vast majority of the new cases in the past month have shown only mild symptoms, but at least 73 people have had serious cases of COVID-19, the Associated Press reported. That is well below the more than 1,000 serious cases treated each day at the height of the pandemic, but up from 19 in mid-June.
 
na waliochanjwa wako hatarini kugeuka mazombie 😂😂😂
 
Jitokezeni mkachanje acheni kujificha kwenye kichaka cha Ujinga..

Miaka ya 1900 wakati umeme unagundulika wapo watu waliopinga uvumbuzi huo hivyo haishangazi pia kuwepo wapinga chanjo..
Kwahyo kutochanja ni ujinga?
 
Aliefadhili research ya kugundua chanjo ndio huyo huyo kafadhili research ya kutisha wasio chanja
 
Hizi ni taarifa za kitapeli na kutoka kuzimu,kwa kuwa CDC ni shirika la kitapeli linalo ongozwa na watumishi wa Shetani.Component moja wapo iliyoko kwenye chanjo hizo inaonyesha wazi kwamba Covid Vaccines zote without exception ni mpango wa mauaji by Satan himself and human possession by demons.Component hiyo inaitwa "Microsoft Windows mRNA666 Operating System."

Note the number 666,hii ni namba ya anayeitwa Mnyama,ambaye atapewa mamlaka na Shetani mwenyewe katika utawala wake rasmi duniani wa miaka saba.Biblia imeeleza jambo hili wazi Ufunuo 13 hasa mstari wa 16-18.
 
666 sio namba ya mnyama, acheni kuwa kichwa wazi hivi,
protons
 
666 sio namba ya mnyama, acheni kuwa kichwa wazi hivi,
protons
Okay,ila the Bible says so,and we know it is true!By the way,the Bible cannot lie.Hata wahusika wenyewe wakuu wanakiri it is,so who are you to say it isn't.Check hata Chrome,ni 666,the number is everywhere.Until when are you going to bury your head in the sand.Kama ulichanja mkuu bad luck na pole,it was an extremely poor decision.Wewe tuambie,what what 666 represents,if you are saying the Bible is lying,which cannot be,because the Bible never lies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…