Utafiti Binafisi: CRDB Bank wana wahudumu warembo kwelikweli

Utafiti Binafisi: CRDB Bank wana wahudumu warembo kwelikweli

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Tembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina.

Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao ..

Huko kwingine wananyodo huduma mbovu nk.


Haipingwi.

@
Screenshot_20250526-172016_1.jpg
 
Tembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina.

Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao ..

Huko kwingine wananyodo huduma mbovu nk.


Haipingwi.

@
View attachment 3346554

Kwani huyu jamaa ana shida gani? Yee si katoka zake kukata gogo. Sasa anaamua kujiunga na majamaa wengine
 
Ndiyo benki inayoongoza kwa "kuiba" pesa za wateja. Ukiwa na Sim Banking kuwa makini maana makato yanaweza kuzidi hata balance yako ukizubaa.

Najua kuna boya litakuja kusema kama unaogopa makato tafuta hela. Pambafu! 😂
Kwenye kuibia weshabuni mbunu za kukwambia wateja Wala usiulize yaani ukifanya miamala 6 sim bank ni sawa na Hela ya kulewa usiku kuchat😹😹
 
Back
Top Bottom