Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #21
Mkuu hoja Yako IpingweBila picha huu uzi uishie hapa. PERIOD.
Mkuu hoja Yako IpingweBila picha huu uzi uishie hapa. PERIOD.
Haipingwi mkuuNo Reforms No Election
Kwanini wewe mleta mada usingeweka picha ili tuone kwanza kama ni kweli ndo twendeTembelea Tawi la Crdb Lilo karibu nawe utuletee mrejesho
Comrade usiunize kichwa sana nitakuambia private 🤣Tembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina.
Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao ..
Huko kwingine wananyodo huduma mbovu nk.
Haipingwi.
@
View attachment 3346554
ChaiTembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina.
Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao ..
Huko kwingine wananyodo huduma mbovu nk.
Haipingwi.
@
View attachment 3346554
Mkuu acha tuu Tutaongea kifamalia tuyamalizeComrade usiunize kichwa sana nitakuambia private 🤣
Ongea na huyu hapa Nitaenda Misaa yaTatu anafanya kazi Moja ya Tawi la Crdb hapo DarKwanini wewe mleta mada usingeweka picha ili tuone kwanza kama ni kweli ndo twende
Kwenye sim bank wapo kiwizi zaidi Wala sio Kwa huduma usiombee kabisaHao warembo ndo chanzo cha huu usumbufu ama? CRDB mnazingua huduma za ATM na Sim banking
HAIPINGWINo reform no election
HaipingwiChai
Mkuu Mimi ni Baba paroko tuOngea na huyu hapa Nitaenda Misaa yaTatu anafanya kazi Moja ya Tawi la Crdb hapo Dar