Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Tembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina.
Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao ..
Huko kwingine wananyodo huduma mbovu nk.
Haipingwi.
@
View attachment 3346554
Yule alikuwa kajificha .....Kwani huyu jamaa ana shida gani? Yee si katoka zake kukata gogo. Sasa anaamua kujiunga na majamaa wengine
Kura mtapiga tuNo reforms No election
No reforms no erectionsNo reforms No election
Tembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina.
Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao ..
Huko kwingine wananyodo huduma mbovu nk.
Haipingwi.
@
View attachment 3346554
Kwenye kuibia weshabuni mbunu za kukwambia wateja Wala usiulize yaani ukifanya miamala 6 sim bank ni sawa na Hela ya kulewa usiku kuchat😹😹Ndiyo benki inayoongoza kwa "kuiba" pesa za wateja. Ukiwa na Sim Banking kuwa makini maana makato yanaweza kuzidi hata balance yako ukizubaa.
Najua kuna boya litakuja kusema kama unaogopa makato tafuta hela. Pambafu! 😂
Haipingwi
HaipingwiNo reforms No election
Crdb wapo vizuri mkuu Kule Nmb Pisi zimepinda kama wauza magimbi na wanafoka walee unadhani bank ni X waoHizo pisi zielewe kabisa kama hawatabadilika kwenye kutoa huduma zao..
Sisi tunaenda na No Reforms, No Erection......
Tembelea Tawi la Crdb Lilo karibu nawe utuletee mrejeshoManeno tu bila kuweka picha tunakuona haupo serious kiongozi na ukifa mkeo tunamchukua