Utafiti binafsi: Mara nyingi ukimpa mdada hela/zawadi bila yeye kukuomba, huko mbeleni ndo atazidi kukupiga vizinga

Wabarikiwe wanaume watoaji woteee🥰🥰🥰kupiga vizinga ni tabia tu kama nyingine kuna wanawake pia ni madomo zege kwenye uombaji hela hata kama tunapenda hela😆ila ukiwa na mwanaume anakupa hela wanaume wengine woteeeee unaona hawakushtui,,,,,,,,we toa tu hizo hela kama una afford
 
Tafsiri ya kawaida ni kuwa;ukiwa unahonga na kutoa toa zawadi(ukiwa na nia njema tu) hii huwa inamaanisha 'unazo sana' huhitaji msaidizi wa kuzitafuta bali unahitaji mtu wa kutumia nae. Kwa namna hii humpi mwenza wako changamoto ya kukuona future yake bali unamuweka katika nafasi ya kukuona danga lake.

Mwanamke hajali kuhusu unavohaso na hana huruma na hela yako na hatakuwa nayo.
Wewe kama huihurumii pesa yako, unataka nani aihurumie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…