Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

Sijui kama ulisoma Bailogia kwa ngazi gani ila inaonekana kabisa kuwa ulitoka bila kitu
 
Sio kweli, binadamu, nyani na pomboo hupata utamu muda wowote wakitaka..
 
Wazi kabisa 😅 kwa kuongezea tu ndio siku ambazo mwanamke hata kama alikuwa anasumbua kukupa muafaka wa penzi kama lipo au halipo basi jua anaweza kukutafuta ili akuulize kama upo geto au haupo🤣
 
Duuuuh Hivi hao Wanawake Mnaowawekea Maneno Kilq Siku Humu JF hawapo wakaongea? Utafiti wa Nini Wakati Tunaishi nao na Wanaweza Kuongea wenyewe
 
Ni kawaida mkuu,pia nakupongeza kwa kuongea ukwel ili na wengne wajifunze,maana wanawake wenzio wanaogopa kujitokeza na kuongea ukweli
 
Duuuuh Hivi hao Wanawake Mnaowawekea Maneno Kilq Siku Humu JF hawapo wakaongea? Utafiti wa Nini Wakati Tunaishi nao na Wanaweza Kuongea wenyewe
Mshtue mkeo achangie mada mkuu,maana wengne wanajificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…