GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki).
Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake.
Na hata ikitokea Umewagumia (Umewabamba) na hizo Simu zao wanaongea 95% ya Watu wanaoongea nao ni Mabwana (Madanga) tupu na ukiona anaongea Kakunja Sura jua huyo anayeongea nae ni Mumewe halali na Wanagombana hali inayowafanya Wengi wao kuwa na Mahusiano mabaya yanayopelekea Kuachwa/Kuachika.