UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Bora haya mabovu lakini yana mafuta fulu tengi kuliko hayo magari mazima lakini hayana mafuta,
Kijana bado unajitekenya na kucheka mwenyewe bado hujajua watu kwanini wanalalamika
kuhusu "mfumo kristo" wewe ni rastafari sasa haya mambo ya mfumo kristo sijui wewe
yana kuhusu nini au ndio urastafari nyuma ya pazia la "UKRISTO"
 

Hivi nimemquote nani kwenye hiyo post?

Kutokana na majibu yako wewe ndio mwenye matatizo
Umejuaje kuwa nilikuwa nawarejea ninyi?

Nyie ndio wa kwanza kuwavunjia watu heshima na nyie haohao ndio wa kwanza kudai mheshimiwe!
Mkoje?

Halafu inakuwaje unataja kanisa hapa?
Unajua mimi nasali wapi?

Kwenye mada kuna hoja inayohusu makanisa?
 
Hivi kwenye kwenye kurwani kuna Yesu kweli!.au ndio issa kama ndio hivyo kwa nini kurwani za kiswahili hazina jina la issa mi naona hao niwawili tofauti.
 

Well said. Nahisi huyu hajui maana ya Research. Hata mkanganyiko wa data na maudhui yake yanafanya aonekane kituko. Nimepitia michango mingi inayompa sifa huyu jamaa nina wasiwasi kama wana uwezo wa kudadavua mambo ya utafiti. Huyu jamaa kakaa hapo Posta Club katunga uwongo wake kisha analeta uharo hapa JF. Nina wasiwasi juu ya sifa ya Great Thinkers mnayojipa
 

Unakijua nilichokuambia?

Huenda umesahau hiki hapa:

Kuna tofauti kati ya kusema kwa ukali na kupiga!
 
Mfumo KRISTO.

Aisee, mimi nilifikiri Allah is almighty, sasa kashikwa pabaya na Yesu Kristo. Why follow such a deity anayeshindwa na kupelekwa speed na Mfumo Kristo?


 

Mkuu hawa watu ni janga hebu tazama alichosema hapa chini

Unaweza kudhani labda ubongo wake amemuazima mkewe!
 

Mkuu Nicholaus Mfalme Suleiman anafundisha juu ya hekima.Lazima tutambue jinsi ya kuishi na watu mbalimbali.
 

Wapi Allah kaitwa BABA kwenye Koran?

Hivi Yesu amuite Mungu "BABA" kwa mamlaka gani?


Kwanini Breathless Muhammad hakuwai muita ALLAH "BABA"?



YOHANA 8:18- - -Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba-aliyenituma, ananishuhudia pia."

Yesu katumwa na BABA!!, hivi walikutana wapi hawa na kupeana hii kazi? Kwanini Yesu amuite Mungu "BABA" lakini Breathless Muhammad hakuwai kumuita ALLAH BABA?

Hivi ALLAH na yeye ni BABA? Kama Allah si BABA kwanini Waislam wasema Mungu wa Biblia ambaye ni Baba ni yule yule na au ni ALLAH wa Koran ambaye si Baba?

KUMBE ALLAH SI MUNGU.

 
Kijana bado unajitekenya na kucheka mwenyewe bado hujajua watu kwanini wanalalamika
kuhusu "mfumo kristo" wewe ni rastafari sasa haya mambo ya mfumo kristo sijui wewe
yana kuhusu nini au ndio urastafari nyuma ya pazia la "UKRISTO"

Ama kweli akili zingine ni matatizo!
 
Naona bado unakomaa:Kwanza nikuulize unaamini vipi kuwa hiyo governement website kuwa data zina ubora?

Ritz alianza sema ni mil48....

tazama wikipedia..Dar es Salaam - Wikipedia, the free encyclopedia.

Na mimi nasema wanakadiriwa kufikia watu milioni kumi wanaoishi dar walio halali na wasio halali, walio andikishwa na wasio andikishwa....sijui km sensa ilifika magheto km Lebanon aliyosema Yerickho
 
Kijana bado unajitekenya na kucheka mwenyewe bado hujajua watu kwanini wanalalamika
kuhusu "mfumo kristo" wewe ni rastafari sasa haya mambo ya mfumo kristo sijui wewe
yana kuhusu nini au ndio urastafari nyuma ya pazia la "UKRISTO"

Mimi ni rasta fari, wewe ni Muislamu na yule ni Mkristu,

Lakini wote tunaishi Tanzania,

Hoja hapa ni Tanzania kuwepo katika mfumo flani wa kidini,

Hata angekuja muyahudi bado angetafiti kama mtanzania sio vinginevyo!

Vipi mkuu, una swali ama hoja kutokana na tarakimu hizo hapo juu?
 

Kweli angekagua hata machinjioni kujua nako balance ikoje
PIA CAG ANGEKAGUA NA ZILE ZILIZOTOLEWA KUPELEKA WATU HIJA.
IDADI YA WAKRISTU INAJULIKANA MFANO RC HUFANYA SENSA KTK JUMUOA ZAO KILA MWAKA
 
Mkuu Nicholaus Mfalme Suleiman anafundisha juu ya hekima.Lazima tutambue jinsi ya kuishi na watu mbalimbali.

Haha sasa hekima yake aliyompa umaarufu ndio unataka itumia futa anasa zake?Unawezajifunza ishi vizuri bila hata msikia suleiman.
 

Mahusiano ya Waislam na Allah ni ya master slave...ndio maana hawawezi digest Mungu kuwa na Mwana.Wakristu mahusiano yao na Mungu ni special..Baba mwana.
 
 
Kweli angekagua hata machinjioni kujua nako balance ikoje
PIA CAG ANGEKAGUA NA ZILE ZILIZOTOLEWA KUPELEKA WATU HIJA.
IDADI YA WAKRISTU INAJULIKANA MFANO RC HUFANYA SENSA KTK JUMUOA ZAO KILA MWAKA

haha...huko ni 100% bado wanalinda kwa upanga hiyo idara.....zaidi ya hela ni fursa ya kupata supply ya damu.....Hakuna muislam atakataa hapa kuwa majinn yanahitaji constant supply ya damu....kuizuia hiyo idara hata kuchuku 1% basi watakuafa watu.
 
Wacha upuuzi wewe umemfanya YESU ni mali yenu wakati kwenye QURAN yanaelezwa maisha ya mama yake mariam
kabla ya YESU na maria mpaka mahali amelelewa kabla ya kumzaa YESU!
Wacha ushabiki wakujifanya unaujua uislamu kaa kimya bwana mdogo ujue kwanza ukristo wako sio kuvamia vitu usivyo vijua "shame on you"
 


Mkuu,ningekuwa na uwezo ningekugongea hata LIKE 50!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…