Utajulia wapi km HUJUI KUWA YESU NI NENO,NENO LA MUNGU NDILO ATUMIALO KUUMBA.HUO UJUMBE UPO KTK QURAN ILA MTAFUMBWA SANA MACHO NA MAMBO MENGI ILI MWIHSOWE MUANGAMIE CHEZA NA MAJINN NINI.
Neno la Mungu "LINAUMBA" Mungu analitoa tuu.LENYEWE LINATENDA.......ndio maana Quran inatoa mfano Yesu aliumba ndege, halfu mnapigwa chenga kwa neno KWA UWEZA WA MUNGU....kwani Mungu mwenyewe ni Nani...
Kwenye mikataba unashauriwa usome vimaandishi vidogo kwa makini....
*JINN NI MOTO, JINI PIA NI UZAO WA IBLIS, MAJINN IN WAISLAM..MAJINN YANAKULA DAMU NA MAVI.....WAISLAM WANAISHI NAO......URAFIKI WA MAJINN NA WATU UNA MUSKELI SIKU ZA MWISHO..
Yet waislam hawajwahi ng`amua kitu hadi leo........kwanini hawatakuwa na amani hata siku moja....
mcc tena:ALLY Kombo akathibitishe km Yesu Si NENO na HILO neno ndilo linaumba .
Typical galatian! Unaongea bila hata kulifahamu andiko!
Huyo neno anaweza kutumwa??
Hebu tuangalie kwenye andiko je! mungu yesu ALIKUJA KWA HIARI YAKE? AU mungu yesu ALITUMWA na MUNGU MKUU!
:YOHANA 5:24----"Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule-aliyenituma, anao uzima wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifo na kuingia katika uzima.
YOHANA 5:30- - -"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumukama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule-aliyenituma.-
YOHANA 5:36- - -Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko ule wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, ndizo zinazonishuhudia kwamba Baba ndiyealiyenituma
.-YOHANA 5:37- - -Naye Baba-aliyenituma-hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.
-------
YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeyealiyenituma.
YOHANA 7:28- - -Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye-aliyenituma-mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui.
YOHANA 7:29- - -Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye-aliyenituma."
YOHANA 7:33- - -Yesu akasema, "Bado niko nanyi kwa muda mfupi, kisha nitamwendea yulealiyenituma.
-------
YOHANA 8:16- - -Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba-aliyenituma-yuko pamoja nami.
YOHANA 8:18- - -Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba-aliyenituma, ananishuhudia pia."
YOHANA 8:26- - -Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-aliyenituma-ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."
YOHANA 8:29- - -Yule-aliyenituma-yuko pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."
-------
YOHANA 6:38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule-aliyenituma.
YOHANA 6:39- - -Na matakwa ya yule-aliyenituma-ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.
-------
YOHANA 12:44- --Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, "Mtu aliyeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule-aliyenituma.
YOHANA 12:49- --Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba-aliyenituma-ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.
-------
MATAYO 10:40- -"Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule-aliyenituma.
-------
MARKO 9:37- - - -"Anayempokea mtoto-kama-huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, hanipokei mimi tu, bali anampokea yule-aliyenituma."
-------
LUKA 9:48--akawaambia, "Mtu yeyote anayempokea mtoto huyu mdogo kwa jina langu, ananipokea mimi; na yeyote anayenipokea mimi, anampokea yulealiyenituma. Maana yule aliye mdogo kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."
-------
LUKA 10:16- - - --Halafu akasema, "Anayewasikiliza ninyi, ananisikiliza mimi; na anayekataa kuwapokea ninyi, anakataa kunipokea mimi. Yeyote anayekataa kunipokea, anakataa kumpokea yule-aliyenituma."
-----TOFAUTI BAINA YA WAISLAMU NA WAKRISTO NI KUWA,
NYIE MNAMWABUDU ALIYETUMWA.!
NA SISI TUNAMUABUDU ALIYEMTUMA YESU!