UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Ungeulizwa source ya data zako, nadhani kwa jibu rahisi ungekimbilia kusema ni utafiti wako mwenyewe. lakini ukienda ndani zaidi ungetuonesha vyanzo halisi na vya kuaminika. Mfano takwimu za wanasiasa jiji la mwanza ulizipataje na ni wapi, na hao wanasiasa ni wa level gani hasa katika swala la kufanya maamuzi. Halikadhalika ungefanya hivyo katika nyanja zingine ulizozitaja. Hii ingeweza kusaidia kujustfy unachojaribu kukiamini. Pia ungeweza kueleza ulijaribi vipi kuzuia bias katika utafiti wako, ungeenda kisayansi ya utafiti zaidi ya hapo. Vinginevyo utafiti wako huu huna tofauti na wanasaiasa wengine.
 
Kasome Kwanza Hukumu ya Maarufu ya Mahkama ya Rufaa ya 2001 ambayo huwa ni sheria (Kesi ya Dibagula) imetamka Bayana si Kosa kisheria kutamka au kuhubiri kuwa Yesu si Mungu, wewe bado unang'angania eti ni halali Serikal kushtaki,Kesi ya Kashfa huanza kwa anaekashifiwa kulalamika kwenye Mamalaka husika sio kukimbilia Ikulu, wapi mmewahi kufungua Jalada la Malalmiko kuwa mnakashifiwa, Nyie mnapoikana Miungu ya wengine kama vile Mizimu mmeshawah kufunguliwa kesi ngapi kwa kukashif Miungu ya Asili au kukana Utume wa Muhammad?
Huu ulioita ukichaa wa Waislam ndio uliofuta hukumu ya Jaji Nixon Chipeta aliehukumu kwa Imani yake badala ya Sheria! Msilazimishe serikal kuwa Wakili wa kutetea Uungu wa Yesu, Hata Missionaries walikashif miungu ya Asili ili dini isambae leo mnalazimisha kupewa Immunity na Serikal ili Mungu wenu asihojiwe?

-Kwanza nikurahishie tena ndugu yangu..kwani naona umekuwa serious kuelewa na si kutupia kashfa inga mwinoe pia unasupport kashfa.

Kwanza ukishaita kitu kashf aumekiaharamisha hapo hapo kwa kinya chako..Pili Hao wamissionary walitumia kashfa walikosea au walikashifu pabli things ambacho hakikuw ana mteteau au mipaka..mfano naweza sema .."Fisi ni mchafu na mbaya sana..." naweza nisilaumiwe kabisa.

Well, back to haya Mara nyingi waislam huchanganya mambo yao na vurugu nyingine km kuchoma kanisa, na vitu vingine vinavyohitaji polisi ku act intsantly ili kuzuia fujo na kuwa wa kwanza kulifikisha mahakamani.Kufikisha suala mahakamani kuna njia nyingi sana.

Suala la Yesu kuwa si Mungu ni relative na mwenye nia njema hastahili kuhubiri hilo....yaani ni km Wewe kwenda kwa mtu kumwambia anachokula si chakula..wakati anakula huo utakuwa wendazimu ninaokuambia.Au kumwabia huyo mke wako si mke....Na wala msijidanganye kuwa kuwa concept ya mungu moja ni lazima awe mmoja kwa wote...watu wanaoa Mke mmoja ila kila mtu ana wake...watu wana pua moja ila kila mtu ana pua yake..Sasa mwenye mke anayefanya yanayostahili ni jingine.Hapo ndipo shida ya islam inapoanzia.

Shida ingine kwa uislam ambayo wanazuoni wengi wameshindwa isolve ni kwamba uislam unaamini kuwa wenyewe ndio pekee sahihi kwanza, halafu mafundisho yao moja kw amoja ni kashfa kwa dini nyingine ambzo imazitaja moja kwa moja....na wenyewe hautaki wao kutajwa popote bila kuwaita wengine wamekufuru....Kwani ni lazima waislam whubiri kuwa yesu si Mungu na si kusema Mungu wao anaitwa Allah, na shurti waislam kumwabudu yeye tuu?Na ikitokea waislama kuuliza na Yesu vipi wakjibu kuwa si Mungu wao, ila wakristu wamwabudu..na mchezo ukaisha?

BY the way nadhani hadi hapo umeshaona Kuna YESU NI NENO NA NEMO LA MUNGU HUUMBA..MUNGU HULITUMIA KUUMBA.AKISHALITO ALINAKWENDA FANYA KAZI ZOTE ALIZOKUSUDIA.UMEONA KUWA YESU SI NABII/MESSENGER ILA NI MESSAGE YENYEWE(NENO LENYEYE).NDILO LILIOUMBA...kutokea hapo nadhani unaweza balance fikra zako wakristu wanaposema kuwa Yesu ni Mungu wao....na uwaachie Mungu wao km hawezi kuwa wako.Km ilivyo kwa baniani na masanamu yao.Na wewe jifunze zaid kuhusu allah na kumfuata yeye.Hii waislam kuleta fujo ktk vitabu vye wengine ni mazingira ya viumbe wajanja sana majinn kuleta shida.....
 
Ungeulizwa source ya data zako, nadhani kwa jibu rahisi ungekimbilia kusema ni utafiti wako mwenyewe. lakini ukienda ndani zaidi ungetuonesha vyanzo halisi na vya kuaminika. Mfano takwimu za wanasiasa jiji la mwanza ulizipataje na ni wapi, na hao wanasiasa ni wa level gani hasa katika swala la kufanya maamuzi. Halikadhalika ungefanya hivyo katika nyanja zingine ulizozitaja. Hii ingeweza kusaidia kujustfy unachojaribu kukiamini. Pia ungeweza kueleza ulijaribi vipi kuzuia bias katika utafiti wako, ungeenda kisayansi ya utafiti zaidi ya hapo. Vinginevyo utafiti wako huu huna tofauti na wanasaiasa wengine.

Hivi umeisoma kweli hii mada au umekimbilia kupost tu hisia zako?

Hebu tumia mda kidogo soma ndugu, utaona kila namba iliposimama imekwenda na maelezo ya upatikanaji wa namba hiyo!

Hebu punguzeni jazba ili muelewe hasa mada inasema nini!
 
Wakati mwingine unapoandika kitu, jaribu kukisoma kwanza!
Wapi umeskia mtu mwenye elimu yake akatoa makadirio ya population ya mji wowote dunia eti kati ya 5 mil to 10mil??
Cant you even think for a moment??

Haya makadirio ya watu au panya??

kweli wewe unajingiza usipopajua:MAKADIRIO NI NINI?TUANZIE HAPO

Kwa taarifa yako km huna system inayoweka majibu ktk real time ,basi kinachohesabika kiwe ni kitu amabcho hakibadiliki hesabu....

BY the time sensa inamalizika, halafu anakwenda jumlisha na kufanya kustandarze ili kuweka margin of error....figure si hiyo tena.Wati wa staistics wanajua hilo ndio maana kuna neno inakadiriwa kufikia au ziadi ya .......tofauti ya kuzaliwa na kufa inabadili sana mambo....bado wale wanaohamia,bado wanaorudi ambao walizamia nje bila kuaga....hakuna figure exactly ya idadi ya watu dar ...dar awtu wanaingia kila dkk na wengine wanaodoka kupitia anga, kupitia barabara, na bandari..

usipende kuwa kitalolo ktk mambo serious..
 
Utajulia wapi km HUJUI KUWA YESU NI NENO,NENO LA MUNGU NDILO ATUMIALO KUUMBA.HUO UJUMBE UPO KTK QURAN ILA MTAFUMBWA SANA MACHO NA MAMBO MENGI ILI MWIHSOWE MUANGAMIE CHEZA NA MAJINN NINI.

Neno la Mungu "LINAUMBA" Mungu analitoa tuu.LENYEWE LINATENDA.......ndio maana Quran inatoa mfano Yesu aliumba ndege, halfu mnapigwa chenga kwa neno KWA UWEZA WA MUNGU....kwani Mungu mwenyewe ni Nani...

Kwenye mikataba unashauriwa usome vimaandishi vidogo kwa makini....

*JINN NI MOTO, JINI PIA NI UZAO WA IBLIS, MAJINN IN WAISLAM..MAJINN YANAKULA DAMU NA MAVI.....WAISLAM WANAISHI NAO......URAFIKI WA MAJINN NA WATU UNA MUSKELI SIKU ZA MWISHO..

Yet waislam hawajwahi ng`amua kitu hadi leo........kwanini hawatakuwa na amani hata siku moja....

mcc tena:ALLY Kombo akathibitishe km Yesu Si NENO na HILO neno ndilo linaumba .

Typical galatian! Unaongea bila hata kulifahamu andiko!
Huyo neno anaweza kutumwa??

Hebu tuangalie kwenye andiko je! mungu yesu ALIKUJA KWA HIARI YAKE? AU mungu yesu ALITUMWA na MUNGU MKUU!

:YOHANA 5:24----"Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule-aliyenituma, anao uzima wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifo na kuingia katika uzima.

YOHANA 5:30- - -"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumukama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule-aliyenituma.-

YOHANA 5:36- - -Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko ule wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, ndizo zinazonishuhudia kwamba Baba ndiyealiyenituma

.-YOHANA 5:37- - -Naye Baba-aliyenituma-hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.

-------

YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeyealiyenituma.

YOHANA 7:28- - -Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye-aliyenituma-mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui.

YOHANA 7:29- - -Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye-aliyenituma."

YOHANA 7:33- - -Yesu akasema, "Bado niko nanyi kwa muda mfupi, kisha nitamwendea yulealiyenituma.

-------

YOHANA 8:16- - -Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba-aliyenituma-yuko pamoja nami.

YOHANA 8:18- - -Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba-aliyenituma, ananishuhudia pia."

YOHANA 8:26- - -Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-aliyenituma-ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."

YOHANA 8:29- - -Yule-aliyenituma-yuko pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."

-------

YOHANA 6:38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule-aliyenituma.

YOHANA 6:39- - -Na matakwa ya yule-aliyenituma-ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.

-------

YOHANA 12:44- --Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, "Mtu aliyeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule-aliyenituma.

YOHANA 12:49- --Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba-aliyenituma-ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.

-------

MATAYO 10:40- -"Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule-aliyenituma.

-------

MARKO 9:37- - - -"Anayempokea mtoto-kama-huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, hanipokei mimi tu, bali anampokea yule-aliyenituma."

-------

LUKA 9:48--akawaambia, "Mtu yeyote anayempokea mtoto huyu mdogo kwa jina langu, ananipokea mimi; na yeyote anayenipokea mimi, anampokea yulealiyenituma. Maana yule aliye mdogo kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."

-------

LUKA 10:16- - - --Halafu akasema, "Anayewasikiliza ninyi, ananisikiliza mimi; na anayekataa kuwapokea ninyi, anakataa kunipokea mimi. Yeyote anayekataa kunipokea, anakataa kumpokea yule-aliyenituma."

-----TOFAUTI BAINA YA WAISLAMU NA WAKRISTO NI KUWA,

NYIE MNAMWABUDU ALIYETUMWA.!

NA SISI TUNAMUABUDU ALIYEMTUMA YESU!
 
Na hii theory umetoa wapi!?
Na kabla hujaendelea kutoa maneno meengi, una maana gani kusema nchi km uingereza kiongozi wake mkiristo!!

Kwanza unafahamu maana ya kujiita mkiristo??

Biblia inakwambia "uliberali ni haramu"!
Queen Elizabeth ndio ktk viongozi wa kwanza kusaini na kuikubali sheria mpya ya kuwaruhusu waliberali kuwa treated kama wanandoa wengine!! Na baadhi ya viongozi wakubwa wa kanisa!

Sasa kuna ukristo hapo?? Au ukristo ni kabila na taifa??

Kwa hivyo, kauli yako ya kusema haiwezekani kuwa na mfumo kristo wakati kiongozi sio mkiristo ifute!
Wako viongozi wamewekwa km pambo tu! Au mfumo unakuwa umetapakaa kila kona na kuufuta inatakiwa kiongozi awe jasiri asiyeogopa lawama!

Mfano mzuri ni Tz! Na huo mfumo kristo umesambaa km saratani!

Kuuondoa inataka mapambano ya hali ya juu sana! Lkn siku zote chanzo cha matibabu ni kuutambua ugonjwa kwanza!
Na sisi tumeisha yatambua maradhi!
Iliyobaki ni kutafuta dawa tu!.

Kupanue akili yako kidogo ni kwamba.Ulichokiona ni Elements za Ukristu ...sasa cha kujiuliza ni kwanini....je unavutia sana, je ni kwamba ndio wanaotoa elimu na hivyo watu kujikuta wakiondoka nazo..

Nadhani unachopiga kelele ni influence ya Ukwitu kuwa kubwa kuliko ulivyotaka..sasa pia hii inaweza kuwa ni shida ya wengine kushindwa fanya chochote..Bahati mbaya sana sehemu kubwa duniani uislam umewekeza ktk fujo ..ndio mnachojituma kifanya sasa hata hapa kwetu...sasa wakristu wawasiadiaje?

Jamii za ulaya zinamomonyoka ktk misingi ya ukristu..si mud amrefu Price Charles aliyetakiwa kulinda na kusiamamia christian Values ktl nchi yake ..alisema anatambua dini nyingine na hasimamii hilo tuu.Na hii imetokana na kuingia kwa miakkati ya waislam. free masons, atheist, sociaolism, homosexuality na watu wengine wenye kuchukia dini .wote hao wana nji azao nyingi sana ya kuwaharisbu watoto w akiingereza ili wakija kuwa wakubwa wasiwe imara ktk mambo yaliyoipa uingereza nguvu na heshima.

Uliberali ni silaha na Mafia, freemasons, uliberali na unga , na ujambazi na ugaidi ni silaha ya kuharibu kila tamaduni, kutokea ndani km watu watajiachia ....bongo vijana wanakimbilia sana unga, si mud azile fununu za kwamba wasanii wa Bongo wengi wanapakuliwa zitaanza kuwa halisia sana..si unasikia habari za kuwa punda..soon utasikia kuwa ni chakul. Na wengine kuwa majambazi wanaofanyia watu fulani kazi.
 
kweli wewe unajingiza usipopajua:MAKADIRIO NI NINI?TUANZIE HAPO

Kwa taarifa yako km huna system inayoweka majibu ktk real time ,basi kinachohesabika kiwe ni kitu amabcho hakibadiliki hesabu....

BY the time sensa inamalizika, halafu anakwenda jumlisha na kufanya kustandarze ili kuweka margin of error....figure si hiyo tena.Wati wa staistics wanajua hilo ndio maana kuna neno inakadiriwa kufikia au ziadi ya .......tofauti ya kuzaliwa na kufa inabadili sana mambo....bado wale wanaohamia,bado wanaorudi ambao walizamia nje bila kuaga....hakuna figure exactly ya idadi ya watu dar ...dar awtu wanaingia kila dkk na wengine wanaodoka kupitia anga, kupitia barabara, na bandari..

usipende kuwa kitalolo ktk mambo serious..

Hizo ni imaginations zako!
Hata siku moja huwezi kuweka gap ya population between 5-10 milions!!
We hizi fikra unatoa wapi?

Hebu nionyeshe statistics yoyote duniani ikaonyesha makadirio ya watu ktk mji wwt with a gap of 5 millions!!
Unapoandika vitu hapa, jaribu kufikiri kwanza! Sii kila kinachokuja kichwani kwako basi unaandika tu!
 
Typical galatian! Unaongea bila hata kulifahamu andiko!
Huyo neno anaweza kutumwa??

Hebu tuangalie kwenye andiko je! mungu yesu ALIKUJA KWA HIARI YAKE? AU mungu yesu ALITUMWA na MUNGU MKUU!

-----TOFAUTI BAINA YA WAISLAMU NA WAKRISTO NI KUWA,

NYIE MNAMWABUDU ALIYETUMWA.!

NA SISI TUNAMUABUDU ALIYEMTUMA YESU!

sijaquote mistari yote ili kurahisisha wenye mobile..nadhani hayafuti mwingine anaweza yasoma hapo juu.

BADO HUJAJIBU NILICHOANDIKA NA UNAZIDI POTOKA...NIMEKUAMBIA HUJAWEZA TOFAUTI WAKATI ANATUMWA NABII NA WAKATI UJUMBE WENYEWE NDIO UMEKUJA ...UMEKWEPE KUJIBU YESU KUWA 'NENO' .."THE WORD"..NENO LA MUNGU NI HAI,NDILO LILILOUMBA DUNIA.NAJUA ULIJUA NINI KINGEKUMALIZA..HATA KTK BIBLIA UNAYOSEMA IMECHAKACHULIWA ILA WAKATI WA KUI QUOTE UPO FASTA KUITUMI KTK UTETEZI.

Fikra za Kiislam hazitoshi kumuelezea Mungu wala Yesu....Yesu alijipambau kws jinsi alivyopenda kwa vile aliamua tumia maneno yaliyofaa zaidi ktk sehemu husika ili kufikisha ujumbe sahihi bila jichanganya..aliwaambia kuwa shahidi wake wa kwanza ni yule aliyemtuma...mwenye NENO ndie anayeweza sema km ni lake, pia kasema waliomuona yeye ndio wamemwoma Mungu, kwa vile aliwambia kuwa anaye Baba na ni yule wa juu, ....

Pia is kweli waislam wana mwabudu allah pekee..zile "..tu..", "Sisi" huku muhamad akitajwa kwa pamoja na allah ni wazi kuwa mnachoabudu si allah kwa umoja wake ila kapu lenye muhamad na mabint i wa allah...akina manat na wengine.
 
Hizo ni imaginations zako!
Hata siku moja huwezi kuweka gap ya population between 5-10 milions!!
We hizi fikra unatoa wapi?

Hebu nionyeshe statistics yoyote duniani ikaonyesha makadirio ya watu ktk mji wwt with a gap of 5 millions!!
Unapoandika vitu hapa, jaribu kufikiri kwanza! Sii kila kinachokuja kichwani kwako basi unaandika tu!

Kwanini unadhani siwezi?Ni kwamba siwezi au wewe hutaki
Margin ya makadirio inategemea unataka fanyia nini hizo data...km unarusha rocket unahitaji makadirio ya decimal places zaidi ya 20 kwa vile space erro kidogo tuu kwa umbali uliopo na mwendo unamiss target kw akilometers, km unatumia data kuwapa watu chupi hutakiwi kadiria kwani kuna atakayetembe uchi kwa kukosa,ila unaweza kadiria size...km unataka peleka chakula unaweza kadiri aupendavyo kwani unaweza punguza sahani...

km unatibu kansa unatakiwa ukate kiunge sehemu you are very sure hakuna cell yoyote ya kansa.....hapo ndipo utaona wapi kiungo inakatiwa na bado wengi wanajikuta kansa ilsihazidi na kufika kulikobaki.

Sasa mimi nakuambia watu wa dar ni kati ya hizo milioni 5 za Yeriko na 10m ...sababu nilishakupa sioni haja ya kurudia.Ni wewe uniambie kwanini hutaki sikia hilo?Kwanza uanchobishia ni ujinga wa Ritz ambaye alishweka quote ya milion 40+ figure ya nchi nzima..tena akaweza exactly kwani altaja figure inayoishia na wati 2.Wote mna shida za akili. Data za Yericko Zimezidi mil 5. sasa mimi kuweka figure ambayo kwa kiasi kukubwa zinakuwa ktk margin ni safe way yakusema jambo.
 
Wenzetu wanasema upo na unafanya kazi, lakini kila nikiwaomba waueleze ulipo na unavyofanya kazi wanaweweseka tu!

wanchoniudhi hawa jamaa in between wameskip vitu vingi sana.Ambavyo wamjibiwa na mabavyo wameshindwa jibu..hawajawa honest enough kupiga tick na kuadit walivyojibiwa na ambavyo wameshindwa jibu honestly.Ili kuruhusu thread kwenda mbele.Sasa wanaintroduce vitu vingine kw akiasi thread inajaa side issues kuliko ilivyotakiwa....matokeoa yake wenye tafsiri zao huja na kuanz ataja majina kdhaa kuwa wameharibu thread kwa vile hawajaweza digest.

Huku kukosa kuwa honest ndipo kuna wacost waislam hata ktk real life...wakristu wanafanyiwa uhalifu..Waisalam woet wasome na wasiosoma, wanasiasa na vingozi wa dini wanakuja fasta na kusema haihusiani na dini, baadaye inathibitika hivyo, wanageuka kuwa akiyefanya kapotosha uislam.Baadaye iangundulika pia kuwa katumia uislam.Hawaji hadharani kuomba msamaha km dini na kuonyesha kweli hili ni tatizo.Na watalshuhulikia ktk mafundisho yao.

Hivyohivyo inawapa serikali uhuru wa kuwapiga risasi ktk matukio kw akuwaita mmajangili au wahalifu wowote wenye kudhuru.
 
Mkuu Yeriko, kwanza niwasahahishe wale waliokupongeza kwa kuumiza kichwa kufanya utafiti huu.Mimi nakupongeza kwa kuumiza roho ndiko kilikopelekea kuandika thread hii.
'Utafiti' wako unaweza kujumishwa kwa maneno mafupi kuwa
Idadi ya waislam ni kubwa kuliko wakiristo katika Tanzania lakini 'utafiti' wako haujibu hata kidogo hoja za mfumo kristo kama unavyodaiwa na hao wanoleta madai hayo!
 
Kwanini unadhani siwezi?Ni kwamba siwezi au wewe hutaki
Margin ya makadirio inategemea unataka fanyia nini hizo data...km unarusha rocket unahitaji makadirio ya decimal places zaidi ya 20 kwa vile space erro kidogo tuu kwa umbali uliopo na mwendo unamiss target kw akilometers, km unatumia data kuwapa watu chupi hutakiwi kadiria kwani kuna atakayetembe uchi kwa kukosa,ila unaweza kadiria size...km unataka peleka chakula unaweza kadiri aupendavyo kwani unaweza punguza sahani...

km unatibu kansa unatakiwa ukate kiunge sehemu you are very sure hakuna cell yoyote ya kansa.....hapo ndipo utaona wapi kiungo inakatiwa na bado wengi wanajikuta kansa ilsihazidi na kufika kulikobaki.

Sasa mimi nakuambia watu wa dar ni kati ya hizo milioni 5 za Yeriko na 10m ...sababu nilishakupa sioni haja ya kurudia.Ni wewe uniambie kwanini hutaki sikia hilo?Kwanza uanchobishia ni ujinga wa Ritz ambaye alishweka quote ya milion 40+ figure ya nchi nzima..tena akaweza exactly kwani altaja figure inayoishia na wati 2.Wote mna shida za akili. Data za Yericko Zimezidi mil 5. sasa mimi kuweka figure ambayo kwa kiasi kukubwa zinakuwa ktk margin ni safe way yakusema jambo.

Mkuu huyo jamaa atakuchosha tu!
Haelewi kabisa,sijui ubingo wake amemuazima nani!
 
Wakuu Zemarcopolo, Ritz na mbokaleo

Kwanza someni hapa kidogo kisha tuanze kujenga hoja na kujibu moja baada ya nyingine,

Tanzania

The United Republic of Tanzania (Kiing.)
Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania (Kiswahili)

?

?

Bendera ya Tanzania

Nembo ya Tanzania

Wito: Uhuru na Umoja

Lugha rasmi

Kiswahili (kwa dhati)

Mji Mkuu

Dodoma

Makao ya Serikali

Dar es Salaam

Serikali

Jamhuri

Rais

Jakaya Kikwete

Waziri Mkuu

Mizengo Pinda

Eneo

945.087 km²

Wakazi

44,928,923[2] (30th) (2012)

Wakazi kwa km²

46.3

Uhuru

kutoka Uingereza tar. 9 Desemba 1961

Pesa

Shilingi ya Tanzania

Wakati

UTC+3

Dini za wakazi

Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%){{Sensa ya 27 Agosti 1967[1]}}

Wimbo wa Taifa

Mungu ibariki Afrika

?

Tanzania katika Afrika

?

Ramani ya mikoa ya Tanzania

Tanzania ni nchi iliyoko Afrika ya Mashariki. Imepakana na Uganda na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki, Msumbiji, Malawi na Zambia upande wa kusini, Kongo, Burundi na Rwanda upande wa magharibi.

Eneo lina kilometa za mraba 945,203 (nchi ya 31 duniani); maji ya ndani yanachukua asilimia 6.2.

Idadi ya watu kwa mujibu wa sensa ya (mwaka 2012) ni 44,928,923 (nchi ya 30 duniani) kutoka 34,443,603 waliohesabiwa katika sensa ya mwaka 2002.

Msongamano ni wa watu 46.3 kwa km2 (nchi ya 124 duniani).

Tanzania ni nchi kubwa zaidi kati ya wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

Mji mkuu ni Dodoma, lakini makao makuu ya serikali bado yapo Dar es Salaam, jiji kubwa zaidi, lenye watu zaidi ya milioni 4,364,541. Majiji mengine ni kama vile Mwanza, Mbeya, Arusha, Tabora na Tanga.
 
Hivi umeisoma kweli hii mada au umekimbilia kupost tu hisia zako?

Hebu tumia mda kidogo soma ndugu, utaona kila namba iliposimama imekwenda na maelezo ya upatikanaji wa namba hiyo!

Hebu punguzeni jazba ili muelewe hasa mada inasema nini!

Mkuu,Tatizo la hawa watu hawafikirii kabisa

Hebu fikiria,wewe umetumia muda na gharama zako kufanya utafiti halafu anakuja mtu bila utafiti bila chochote na kukubishia

Hovyo sana hawa watu
Sijui wamezoea ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa ambavyo unaweza kuja na maneno kuwa Uwanja wa mpira wa miguu ni wa Yerico Nyerere na watu wakakubali na wengine kulichukua bila kufikiri na kwenda kuwaambia wenzao

Kuna wakati niliwahi kusema kuwa kuna imani zingine inabidi zikaguliwe maana waumini wake wamekuwa kama ma-zombie tu hawafikiri kabisa!
 
---- craaaaaaaaap.......give out source of data please sio kutuletea fikra kama vitabu vya Shigongo....
 
Ungeulizwa source ya data zako, nadhani kwa jibu rahisi ungekimbilia kusema ni utafiti wako mwenyewe. lakini ukienda ndani zaidi ungetuonesha vyanzo halisi na vya kuaminika. Mfano takwimu za wanasiasa jiji la mwanza ulizipataje na ni wapi, na hao wanasiasa ni wa level gani hasa katika swala la kufanya maamuzi. Halikadhalika ungefanya hivyo katika nyanja zingine ulizozitaja. Hii ingeweza kusaidia kujustfy unachojaribu kukiamini. Pia ungeweza kueleza ulijaribi vipi kuzuia bias katika utafiti wako, ungeenda kisayansi ya utafiti zaidi ya hapo. Vinginevyo utafiti wako huu huna tofauti na wanasaiasa wengine.

nilimwambia mleta maja tangu mwanzo kuwa ametoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Sijawahi kuona ripoti ya utafiti ikitolewa kisanii namna hii.
Alichofanya hata mtoto mdogo anaweza, ameandika tu bila kufuata taratibu za utafiti. Alichoandika hakina tofauti na stori za shigongo.
 
Mkuu,Tatizo la hawa watu hawafikirii kabisa

Hebu fikiria,wewe umetumia muda na gharama zako kufanya utafiti halafu anakuja mtu bila utafiti bila chochote na kukubishia

Hovyo sana hawa watu
Sijui wamezoea ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa ambavyo unaweza kuja na maneno kuwa Uwanja wa mpira wa miguu ni wa Yerico Nyerere na watu wakakubali na wengine kulichukua bila kufikiri na kwenda kuwaambia wenzao

Kuna wakati niliwahi kusema kuwa kuna imani zingine inabidi zikaguliwe maana waumini wake wamekuwa kama ma-zombie tu hawafikiri kabisa!

Hawa jamaa wana shida nyingi ila zote zina aanzia ktk spirits....spirit ndio inawachanganya ili siku zote waingie ktk matatizo ya umwagaji damu bil akujielewa.Wapo wanaoelewa na kufaidika na hizo spirit....Jinns ndio taabu kubwa kwa waislam..siku zote yatawa trick kuingia ktk blood games.
 
Mkuu Yeriko, kwanza niwasahahishe wale waliokupongeza kwa kuumiza kichwa kufanya utafiti huu.Mimi nakupongeza kwa kuumiza roho ndiko kilikopelekea kuandika thread hii.
'Utafiti' wako unaweza kujumishwa kwa maneno mafupi kuwa
Idadi ya waislam ni kubwa kuliko wakiristo katika Tanzania lakini 'utafiti' wako haujibu hata kidogo hoja za mfumo kristo kama unavyodaiwa na hao wanoleta madai hayo!

Lazima unielewe kinyume kwakuwa ulitaraji nitafanya kile ukijuacho wewe,

Nimefuata misingi ya mfumo Islamu/kristu inavyofanya kazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom