Hii kali kuliko, yani miaka yote ya kelele mlikuwa hamna utafiti wowote mpaka nilipofanya utafiti mimi ndio nanyi mnajiandaa kufanya utafiti tena unasema wazi kuwa mtachukua zaidi ya miaka kumi???
sina wakati wa kurudiarudia.
Rejea hapo nyuma nimeonyesha na kuchambua data zoote alizozionyesha huyo mgalatia, anaejiita rastafari!
Kama huwezi kurejea, wachana na mimi!
Nyie kila kiti kinachoandikwa mna tabia ya kubeba nzima! Kama mnavyobeba andiko lililo chakachuliwa!
Unaambiwa mungu watatu kwa mmoja!
Hata huulizi!!? Unabeba tu!
Unaambiwa mungu wako alipigwa na viumbe wake mpaka akafa! Unabeba tu!?
Unaambiwa yesu alikuja kw wanakondoo wa nyumba ya israel! Na wewe msukuma pia unaambiwa ni muisraeli kiroho!! Na wewe umabeba tu!!? Na unawaambia wanao pia kuwa "nyie sio wasukuma" nyie ni waisraeli!! Na wao maskini wanabeba tu!
Sisi ni tofauti kabisa na nyie!
halafu wanakuja kifua mbele kwa majigambo,sisi wasomi bana,phew...kama ndo usomi wenyewe wa kutoa data ambazo haziendani kabisa kumbe swaga tu.
Mtu mwenyewe nasikia fundi lipu.
Mfumo kristo hauhitaji utafiti wa aina yoyote! UKO WAZI! UMETAPAKAA KAMA SARATANI!
SIKU HIZI MPAKA KWENYE SHULE ZA CHEKECHEA UNAUONA!
NI NYIE MNAOJARIBU KUUFUNIKA MNATULETEA UTUMBO HUMU NA KUUITA ETI NI UTAFITI!
KUMBE NI UONGO NA UBUNIFU MTUPU!!
Wakristo kweli hawana akili wala hoja wadai kuwa yesu ni mungu, vilevile aliuawa msalabani baada ya siku3 aalifufuka ukiwauliza je dunia ilbaki na nan? Muda huo wa siku tatu kama sio ujinga ni kitu gani? Dini gani sio kuwa na hoja.wala mashiko
haileti maana kabisa..kristo maana yaje mpakwa mafuta,sasa dini inaitwa wapakwa mafuta,WHAT FOR?Sasa unabishana nini....Kristu ndio mwl...na Ukristu ni Ufuasi wake na Wakristu ni wafuasi wake.
Zilete hapa we maamuma mbona unataka kujilipua?
Hujui unachokiongea wewe maamuma,pata elimu hapa:Marko 16:15
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumb
Kabla sijaendelea mbele, umesema utafiti huu umefanyika mwaka 2011 mbona naona kwenye ajira na uchumi umetumia data za mwaka 2012?
Utafiti unachukua muda mrefu kwa hiyo tuwe wavumilivu na kuwapa nafasi na upande mwingine waje na matokeo ya utafiti wao, ila ninachojiuliza malalamiko yao yalitokana na utafiti upi? ilikuwa ni rahisi kwao ku-copy na ku-paste tu
Sasa hebu soma hilo andiko!
Waliambiwa wakafundishe INJILI!
WAPI YESU KAWAAMBIA WAKAFUNDISHE UKRISTO??.
haileti maana kabisa..kristo maana yaje mpakwa mafuta,sasa dini inaitwa wapakwa mafuta,WHAT FOR?
What is mafuta in relation to salvation?
Naombeni kuuliza hivi Mungu Yesu alipopigwa mpaka akafa msalabani alimuachia dunia nani.
Kwi,kwi,kwi,kwiiiiiiiiiii
Tayari mtu atalipuliwa soon
Hizi hasira za ki-mwamedi zitawamaliza nyie maamuma!!!!!!!
Kwahiyo ukienda China imekula kwako siku hiyo huendi church au lazima ujue kichina?Catholic wanasoma misa moja dunia nzima kwa Lugha za wazawa.....so what.
mchungaji, naomba unisaidie vile visanamu vya bikra maria huwa watu wanavipigia magoti kuviomba msaada nani anavitengeneza?Hapo ndipo shida....ilipo kitu usichokijua ni bora ungeomba kufundushwa.Kelele zote hizi sasa unauliza ujinga.
Mpakwa mafuta ni Mtu aliyepitishwa......ni kuhani mkuu alitawadhwa.....ndipo tofauti ya kujisalimisha na kupakwa mafutwa....
yesu alisema,hakutumwa ila kwa wana wa israel,na alisema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kumpa mbwa.Zilete hapa we maamuma mbona unataka kujilipua?
Kila kitu ndio nini wee maamuma?
Kama vile wewe ulivyo Mbokelo ,wakati huo huo ni kahtaan pia ni mwanaume,pia ni baba, lakini zaidi nimwana wa baba yako
Hujiulizi haya yote mbona ni yako wewe?
Tatizo ni nini hapa?
Bora hata mimi,wewe hujiulizi ni mungu gani unamuabudu ambae atachomwa moto kama wewe
Bukhari :: Book 6 :: Volume 60 :: Hadith 371
Narrated Anas:
The Prophet said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'
Hujui unachokiongea wewe maamuma,pata elimu hapa:Marko 16:15
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumb
Kwani Mungu aliyetoa NENO hakuwepo?