UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Hawaisomi Biblia hawa,huwa wanapewa vifungu maalumu vya kusoma na hadithi za watu wa kale,lakini kwenye mafundisho wanafichwa.
 
Kama amekopi,mbona,hakupigiliwa misumari,na akatandikwa mijeledi,ila yeye Muhammad,alikuja kukanusha tendo hili la Yesu kudhalilishwa,na kusema hakufanyiwa tendo ovu hilo.Someni,acheni tabia ya kutafuta vyeti fake,halafu mwasema mumesoma.

Sasa ukisema hakudhalilishwa wakati namdahlilisha itasaidi nini ku boost dini yako?Suppose nakuambia umeshind ahapa nini utakuwa umethibitisha?

Kwa akili yenu kumdhalilisha Yesu kutaaua Ukristu na kuinua uislam...Yesu alishinda fikra za Wayahudi waliokuwa na akili kuliko islma ambayo haijawahi ipa dunia anyathing useful.
 
hii ya kunywa damu ya yesu na kula mwili wa yesu ilitokana na dini za kipagani watawala wa roma wakaingiza kwenye maandiko.sasa wanaofanya ibada ya kunywa damu ya mtu sijui ndo wana maanisha nini.
kunywa damu na miili ya watu!!inatisha
 

-Kwanini usingetumia hiyo logic kujiuliza zile spika nje zinawafurahisha wengine?

-Tendo la Kugeuza mkate na divai kuwa mwili na damu ni Amri ya kumkumbuka yeye....sijui kinakuuma nini.

-By the waya Damu ya Mkristu tuu ina dhamani sana kwa majinn kuliko ya muislam ambaya tayari ni mali zao.Achilia mbali Damu yenye dhamani kubwa ,Damu inayoweza lipa kila deni la Shetani.
 

Mkuu asante sana kwa maoni yako murua,

Kama ndugu zetu wanayasoma haya basi kwa hakika nawaomba wauzingatie
 

We ndio ktk walewale wanaofuata bendera kama upepo!
Suala la kutaka kuwaondosha hao wanaojiita mamufti!
Hio ni moja ya mfumo kristo kuweka watu kt dini yetu na hao watu kuwa ni vikwazo vikubwa ktk maendeleo ya waislamu! Na migogoro ya viwanja na mingine yote inaletwa na watu hao ambao wamengizwa na wanalipwa na mfumo kristo kuja kugawanya waislamu!

Halafu wacha uongo!
Makanisa yana migogoro vilevile na istoshe makanisa yanamilikiwa na watu binafsi tofauti na miskiti!
Msikiti ukijengwa unakuw mali ya waislamu wote sio mtu binafsi!


Kwa hiyo tofauti hizi ndizo zinazosababisha matatizo lkn tunaanza kwanza na MFUMO KRISTO! Maana huu ndio kikwazo kimoja kikubwa sana.
Tukimaliza huko ndio tutakuja bakwata na kwengine.
 
Ni kweli Mchungaji Anthony Lusekelo Mzee wa Upako anafunga majini.
 

Awaangamize.....kwanini wakati kaja lipa deni?Unawezaje lipa deni la mwanao halafu umwangamize anayedai?
 
Hata kama profesa mkristo hujuwe hana hoja za msingi juu ya uungu wa yesu ukimuliza baada kufa yesu dunia ilibaki na nani muda wa siku 3

Mambo mengine wanayaona wenye rehema za Mungu, ndio maana is kila mtu anaweza pata theory of relativity....
 
 

Andiko lako linakwenda tofauti na AMRI YA SERIKALI YAKO! JE! Unajua hivyo!?
Au nikufundishe kidogo! ?

Halafu unasema "damu ya yesu imelipa deni la shetani"

Sasa unataka kusem kuwa shetani alimdai mungu deni!
Halafu mungu akaamua kumuua mtoto wake mpenzi na wa pekee ili amlipe shetani ambae pia kaumbwa na huyohuyo mungu!!?
Hivi kweli nyie huwa mnatumia vichwa kufikiri?
Yaani wewe unamtoto mpendwa tena wa pekee! Halafu unadaiwa! Ukaamua umuue mtoto wako ili ulipe deni!
Hio si laana hiyo! Mi niko tayari kufa nimuokoe mwanangu! Huyo mungu wa biblia kama kashindwa kumhurumia mwanae, KWELI ATAKUONEA HURUMA WEWE MCHAGA!? ASIYE HATA KUJUA??
 

makanisa yapi hayo unaongelea..tupo hapa wakristu hembu jifanye mwalimu wetu vizuri..hadith ni umbea na ndizo nguzo yenu:

-Unaongelea catholics?catholics kila kanisa ni ubalozi wa vatican, na unapewa leave ya vatican, Anglican,Lutheran...yana taasisi za kitaifa na kimataifa..sas huo ubinfasi upi.Makanisa mengine ya kipentecoste ndio yana watu binafsi ila yamesajiliwa kitaifa na yana body ya wadhamaini km taasisi....

Sijui misikiti ina nini?
 
Mkuu Yericko Nyerere unanisikitisha sana kwa swali lako hili......Najua wewe unajua nyema.....Kwani "Kanisa" ni mkusanyiko wa watu kwa ajili ya ibada ya kikristo na "Waamini wa Kanisa" ni wale wote Waamini Kanisa hata kama hawakusanyiki...........
Naomba ujibu swali hili moja tu, ili twende sawa kwa hoja

Je upendeleo huo linapendelewa "kanisa" au waamini wa kanisa?
 
kunywa damu na miili ya watu!!inatisha

Eti wao wanaona kuinywa hiyo damu ndio mapenzi!
Khaaaaa ptu!
We baba yako auwawe kwa kupigwa risasi!
Halafu eti uvae kabastola kadogo shingoni kukumbuka kifo chake!
Haitoshi hio unywe na damu pia??
Hii si bangi mbichi hii??
 
Wewe usieandika pumba mbona hujibu hoja zaidi ya ku criticize hoja za wenzako??
Au leo mbege imezidi ukali??

Ulichoandika ni self critical..kwani unadhani una akili timamu?Wale viumbe wa ajabu wanawadanganya sana.
 
 
Huwezi pata picture kwa fikra za kiislam...mohamed alicopy tuu sifa za Jehovah ila hakuwa hata na clue maana yake nini....ndio maana si yeye wala nyingi mnaweza tambua ktk sifa za Mungu za kuwefa fanya mamabo mengi, ktk sehemu tofauti kwa pamoja.

Muhamad s.a.w hawezi kumuongelea yehova hata siku moja!
Kwa mujibu wa imani yenu. Yehova alimpenda mwanae mpaka akamtoa kafara msalabani.
Na kukaa karibu n yehova ni kutafuta kifo kibaya tu!
Sasa wee kama una hekima kidogo basi kaa mbali na yehova!
He is a child killer!
 
kama neno lilikua limeandikwa lingetimia tu,hakukuwepo ulazima wa kujifichaficha,binadamu hangeweza kuzuia mipango ya mungu,kwanini ajifiche?.

Kwanza. Katika kujadili ili, ni budi kuwa na ujazo wa Roho Mtakatifu ili kuelewa mafundisho haya. Bila hivyo inakuwa ni vigumu kuelewa mafundisho ya Biblia Takatifu.

Pili, maisha na matendo ya Yesu Kristo aliye Masiha, yalikuwa yameshatabiriwa na manabii kabla ya ujio wake. Hivyo Kristo alikuja kuyaishi yale yaliyotabiriwa. Kwa mawazo yako yaliyokosa Roho Mtakatifu huwezi elewa. Pole.

Hata baada ya kusemekana kafufuka alikua anaonekana kwa machale sana,akìhofia kuonekana whyyyyy?.

Alipofufuka, Kristo alirudi katika hali ya Utukufu wa Kimungu na si katika hali ya kibinadamu.

Yesu akifundisha kwenye sinagogi,sinagogi wanaabudi judaism sio christian,ndo kusema alishindwa hata kuanzisha kanisa la maturubai la kuabudia wafuasi wake.?

Huko ndiko palipokuwa na wale ambao hawakuamini. Kumbuka Kristo aliye Masiha alikuja kwa ajili ya wenye dhambi na walio wakosefu.

Pia, kanisa siyo jengo tu! Kanisa ni Roho. Kila aliyemwamini na anayeishi mafundisho ya Kristo, Roho yake ndiyo Kanisa; mahala anapoishi Yeye aliye Kristo. Pole kama umekaririshwa kwamba kanisa ni jengo; ndiyo maana mnachoma majengo ya makanisa mkidhani mnakomoa wakristo!!

jibu ni kuwa hakua mkirsto,ndo maana hata wakristo wakaja kuitwa hivyo pale antiokia kwa juhudi za paul.

Nimeshakuekeza, ukristo ulianzia Yerusalemu pale Yesu Kristo alipowaachia wafuasi wake wa mwanzo (wakristo wa mwanzo) Roho Mtakatifu ili awaongoze na kuwaangazia. Kisha likaenea hadi kwetu Ng'hwalo gwa baghole.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…